POWER TO THE PEOPLE!
Ninavyojua Rais anaongoza nchi kwa mujibu wa katiba yetu,pia kufuata kanuni,taratibu na sheria zilizowekwa kwa mujibu wa katiba hiyo.Na hicho ndicho kitakachomhukumu huko mbeleni.
Ukiona amefanya mambo ya kuoa sirini basi hayo ni kwa manufaa yake wala si kwa manufaa ya Taifa letu.Na pia kama binadamu anaogopa kuanikwa udhaifu wake.Huwezi jua labda hilo eneo hajiwezi kabisa.Na kama akitangaza basi itamuanika mara dufu.
Otherwise,siyo kwamba natetea au namuunga mkono Rais aoe kila mwaka kama jamaa wa LESOTHO.ila kuna issue ambazo hazitugusi moja moja kama hizo.
thread za hivi zina sehemu yake hapa JF!
Mimi kilichonimaliza katika hii thread ni hicho kiingereza, kumbe kiingereza ni kigumu kiasi hiki hee, sasa mbona jana watu walikuwa wanamcheka JK kwa kuchapia ka-grammar kadogo tu?

I think that is his personal life. We does not care on that particular issue. We cares about our children healhcare, our children education, we cares about justice for everyone, we cares about mafisadi.
So, he can do anything he wants concern womens, however he can't do anything he wants concern our nation, our civil rights and our economy. We as the people will stop him from cripple us.
Jamani wana Wanajf naombeni mnisaidie! Hivini kweli JK kaongeza Mke kutoka Kilimanjaro. Uvumi huu umeenea katika baadhi ya maeneo hapa nchini na unakwenda mbali hata kueleza kuwa aliyeolewa ni mtoto wa mwana mama Waziri wa Fedha wa Zamani na Harusi ilifanyikia Moshi Mwanzoni mwa mwaka huu. Hivi ni kweli au mzee wa Jua Kali anazushiwa!
I think that is his personal life. We does not care on that particular issue. We cares about our children healhcare, our children education, we cares about justice for everyone, we cares about mafisadi.
So, he can do anything he wants concern womens, however he can't do anything he wants concern our nation, our civil rights and our economy. We as the people will stop him from cripple us.
Kitila duh!!!
JK kuoa si shida maana anatakiwa kuwa nao 4 kwa mujibu wa kitabu chao.Sasa tummulike tu asije naye akaanza kuvinjali na mali etu lakini kama anaoa tu mwache abebane nao atajua siku akifa atakavyo waacha wanaumana na watoto .
Kitila,
Siyo nia yangu kutoka kwenye maada, if you ask me I think Kikwete has (or should have anyway) more sense than to marry someone young enough to be his daughter.If he is this much beyond basic decency then the colloquism and entertainment of basic lust is beyond my imagination.Kuna maswala mengine ni common sense tu, hamna haja ya katiba.
Kwenye kiingereza
Rais wa nchi na mchangiaji wa JF ni tofauti kubwa, wouldn't you say?
Sote tunahitaji kujiendeleza kwenye hilo.Tatizo ni kwamba baadhi yetu, badala ya kukazania kuongeza viwango vyetu wote hususan kutaka kiwango cha mtu kama rais kiwe cha juu, tunashusha viwango vinavyokubalika kwa rais wetu eti kwa sababu "sisi ni Watanzania".Kama Watanzania kweli rais aongee Kiswahili basi.
Badala ya kupondea tu Kiingereza kibovu, basi tuonyeshe makosa yamefanywa wapi kama mimi nilivyofanya kwa sentensi za rais, wengi wetu bado tunajifunza kiingereza na wengine ndiyo maana tunatumia kiingereza sana humu.Sasa ni bora nisahihishwe na kaka na dada zangu humu kwamba hatusemi "we does not care" tunasema "we do not care" hatusemi "we cares about" tunasema "we care about" et cetera et cetera.This way tunasaidiana na siyo kukejeli tu watu.
Ningefurahi kuona mtu ananisahihisha hapa ili nisije kufanya makosa kwenye hadhira mahsusi.I think that is the entire idea behind constructive criticism.
Bado nampongeza muungwana aliyejieleza kwa lugha anayojifunza.Pengine bila kutumia nafasi kama hizi kujieleza kwa kiingereza uwezo wake ungekuwa mdogo zaidi ya ulivyojitokeza hapa.
Now if that was Kikwete's remarks welcoming George Bush I would rant and scream murder as usal, justifiably so.