Kitila,
Siyo nia yangu kutoka kwenye maada, if you ask me I think Kikwete has (or should have anyway) more sense than to marry someone young enough to be his daughter.If he is this much beyond basic decency then the colloquism and entertainment of basic lust is beyond my imagination.Kuna maswala mengine ni common sense tu, hamna haja ya katiba.
Kwenye kiingereza
Rais wa nchi na mchangiaji wa JF ni tofauti kubwa, wouldn't you say?
Sote tunahitaji kujiendeleza kwenye hilo.Tatizo ni kwamba baadhi yetu, badala ya kukazania kuongeza viwango vyetu wote hususan kutaka kiwango cha mtu kama rais kiwe cha juu, tunashusha viwango vinavyokubalika kwa rais wetu eti kwa sababu "sisi ni Watanzania".Kama Watanzania kweli rais aongee Kiswahili basi.
Badala ya kupondea tu Kiingereza kibovu, basi tuonyeshe makosa yamefanywa wapi kama mimi nilivyofanya kwa sentensi za rais, wengi wetu bado tunajifunza kiingereza na wengine ndiyo maana tunatumia kiingereza sana humu.Sasa ni bora nisahihishwe na kaka na dada zangu humu kwamba hatusemi "we does not care" tunasema "we do not care" hatusemi "we cares about" tunasema "we care about" et cetera et cetera.This way tunasaidiana na siyo kukejeli tu watu.
Ningefurahi kuona mtu ananisahihisha hapa ili nisije kufanya makosa kwenye hadhira mahsusi.I think that is the entire idea behind constructive criticism.
Bado nampongeza muungwana aliyejieleza kwa lugha anayojifunza.Pengine bila kutumia nafasi kama hizi kujieleza kwa kiingereza uwezo wake ungekuwa mdogo zaidi ya ulivyojitokeza hapa.
Now if that was Kikwete's remarks welcoming George Bush I would rant and scream murder as usal, justifiably so.