Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na (OCCRP)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP.
IMG_2151.jpeg

"Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William Ruto kama "Mtu Bora wa Mwaka" katika uhalifu uliopangwa na ufisadi.

Maandamano yalitikisa Kenya mwezi Juni na Julai ambayo yalichochewa na mswada tata wa fedha na ukosefu wa ajira kwa vijana.

Waandamanaji walimtaka Ruto ajiuzulu kutokana na ufisadi ulioenea serikalini. " Inasema sehemu ya taarifa ya OCCRP.
IMG_2152.jpeg
 
Rais William Ruto ameorodheshwa kama kiongozi wa pili fisadi zaidi duniani kulingana na "Organized Crime and Corruption Reporting Project" (OCCRP). Nafasi ya kwanza imechukuliwa na rais wa 19 wa Syria's Bashar al-Assad kulingana na OCCRP.
View attachment 3189284
"Zaidi ya watu 40,000 walimteua Rais wa Kenya William Ruto kama "Mtu Bora wa Mwaka" katika uhalifu uliopangwa na ufisadi.

Maandamano yalitikisa Kenya mwezi Juni na Julai ambayo yalichochewa na mswada tata wa fedha na ukosefu wa ajira kwa vijana.

Waandamanaji walimtaka Ruto ajiuzulu kutokana na ufisadi ulioenea serikalini. " Inasema sehemu ya taarifa ya OCCRP.
View attachment 3189286
Wamemuonea huyu... Yupo yule...

...Ni Hayo Tu!
 
Wakenya always wako juu kwa kila kitu.Hongera kwenu Wakenya wote mkiongozwa na Muheshimiwa.
 
Back
Top Bottom