- Thread starter
- #21
Hivi tumeshindwa kabisa kuiondoa Rwanda EAC?
Mambo yatawekwa wazi sio muda mrefu mvuruga amani anafahamika inabidi awajibishwe ipasavyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi tumeshindwa kabisa kuiondoa Rwanda EAC?
East Africa Community against vibaraka wa Marekani, Belgium 🇧🇪 na France 🇫🇷 nyuma ya mgongo wa 🇷🇼 RwandaHayawi hayawi sasa yamekuwa.
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.
View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Sasa ukishazidiwa kiuchumi na Kimalkia kwenye dunia hii, nini kingine kimesalia, wewe ndugu? Au unataka ku chapwa24 mibakora?al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Yaa ni muhimu Kenya awe na support ya vigogo wengine wa EA, hata kama kuna vidudu mtu vinavyotajwa kuvuruga amani ya DRC kwa maslahi yao na mabeberu wanaowatumia kuchuma rasilimali.....East Africa nzima watakuwa wamekubaliana na hii move. Kenya haiwezi kuact alone
Wabongo tuna maneno mengi.al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Kwamba unaenda kujificha kwenye premises za gaidi mwenyewe, then anaamua kukuibukia muda gani. Ila bila shaka hao M23 wanaenda kupigwa kama ngoma. 🙂Somalia ngoma nzito mkuu.
Unapigana na hewa haha.
Gaidi anavaa kiraia na hana address
Rwanda haitotolewa bali kagame atatuma jeshi congo na ndio itakuwa anguko lake maana kdf na majeshi mengine yataingia RwandaHivi tumeshindwa kabisa kuiondoa Rwanda EAC?
Kagame should see this...Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.
View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Wa-Congo wajiandae kuibiwa upya.Hayawi hayawi sasa yamekuwa.
Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.
View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Kwamba Chielf Hustler ana miradi yake ya madini kule DRC, au mimi ndiye sijaelewa. 🙂 🙂 🙂Wa-Congo wajiandae kuibiwa upya.
Tena ngoma ya kizaramoKwamba unaenda kujificha kwenye premises za gaidi mwenyewe, then anaamua kukuibukia muda gani. Ila bila shaka hao M23 wanaenda kupigwa kama ngoma. 🙂
Kuna mjumbe hapo juu ametoa taarifa kwamba wametumwa kazi maalum kuzima moto Kilimanjaro.TPDF nayo iende huko, Kagame apingwe kwa namna zote.
TPDF nayo iende huko, Kagame apingwe kwa namna zote.
Sio Madini tu na mabenkiKwamba Chielf Hustler ana miradi yake ya madini kule DRC, au mimi ndiye sijaelewa. 🙂 🙂 🙂
M23 wamedekezwa tu.Kwamba unaenda kujificha kwenye premises za gaidi mwenyewe, then anaamua kukuibukia muda gani. Ila bila shaka hao M23 wanaenda kupigwa kama ngoma. 🙂