Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
East Africa Community against vibaraka wa Marekani, Belgium 🇧🇪 na France 🇫🇷 nyuma ya mgongo wa 🇷🇼 Rwanda
 
al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Sasa ukishazidiwa kiuchumi na Kimalkia kwenye dunia hii, nini kingine kimesalia, wewe ndugu? Au unataka ku chapwa24 mibakora?
 
al shabaab wanaopigana jangwani panapoonekana tu wamewashinda, wataweza kupigan ana watu wa msituni wanaojificha kwenye miti? wakenya wanachekeshaga sana. wanachotuzidi ni uchumi tu na kiingereza, ila vingine hawana uwezo. inasemekana al shabab hadi wanawala kiboga hao askari huko somalia.
Wabongo tuna maneno mengi.
Somalia walimdunda hata US na ma black hawk yake wakayaangusha akaondoa jeshi.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Kagame should see this...
 
Wa-Congo wajiandae kuibiwa upya.
 
Back
Top Bottom