Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Rais William Ruto atuma Jeshi Congo, KDF direct to DRC

Dawa ni kuwapelekea moto tu Rwanda alienda Msumbiji kutusukumia wale magaidi yaingie nchini kupitia Mtwara Wala hatukulialia tulipambana tu na hali zetu. Ni muda sasa wa kwenda Mashariki mwa Congo kusukuma waasi wanaoisumbua Congo watafute Kwa kwenda na hatutaki kusikia kelele humu.
 
Once on a battle field kufa hakuepukiki hilo fahamu, kikubwa KDF ikumbuke tu M23 wana mashambulizi ya kuvizia kambini usiku hivo wakae macho au wawaulize TPDF walifanya nini kuwafurusha hao wahuni wa M23
Kama Wanamgambo wa Kihutu kutoka Rwanda wakiachwa halafu Wakenya wajifanye kushambulia M23 pekee basi huu mgogoro unaenda kuwa mkubwa na KDF watachapwa sana.
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Naunga mkono Kenya kwa hili, inafika muda huyu bwana Kagame inabidi ashikishwe adbu kama Tanzania ilivyofanya huko nyuma dhidi ya M23.
 
Dawa ni kuwapelekea moto tu Rwanda alienda Msumbiji kutusukumia wale magaidi yaingie nchini kupitia Mtwara Wala hatukulialia tulipambana tu na hali zetu. Ni muda sasa wa kwenda Mashariki mwa Congo kusukuma waasi wanaoisumbua Congo watafute Kwa kwenda na hatutaki kusikia kelele humu.

Halafu jamaa mjanja kweli alikua anawasukuma waingie Tanzania, sasa ikabidi TPDF wakiwashe ***** hadi RDF wakaanza kusogea mbele zaidi na wale rebels habari ikaishia hapo baada ya mchezo kusomeka wakakumbuka tuliwatafutia uhuru ikabidi wamualike Rais Samia tukafanya mapatano upya maana walitaka kuleta mazoea ya kitoto
 
Kama Wanamgambo wa Kihutu kutoka Rwanda wakiachwa halafu Wakenya wajifanye kushambulia M23 pekee basi huu mgogoro unaenda kuwa mkubwa na KDF watachapwa sana.

FDLR imekua ikiungwa mkono na FARDC , miaka yote maana waliingia Congo kama wakimbizi na walipokelewa ndio RDF ikaingia kuwapiga wakawauwa wengi ndani ya congo baadae ikaamriwa Kagame atoke Congo, alipotoka ndio ikaundwa hiyo M23 ambayo ni wazungumzaji wa kinyarwanda waishio Congo ( banyamulenge) hivo Wakawa full trained kwa maelekezo kutokea kigali ndio hao wakaanza kuisumbua Congo wakidemand mikataba ya Remera na ile ya Rwamagana ambayo kabila alipoingia madarakani hakuitambua, kuna mambo mengi pale yanaendelea na DRC sio wajinga kumsema kagame ndio anawasumbua maana ndio huisapoti M23 kwa 100% , ili aibe mali ya congo huku akijenga Rwanda, ni wakati maziwa makuu sasa kushikamana kuwafurusha hao wahuni maana kimsingi FDLR haijawahi kufanya shambulizi lolote ndani ya Rwanda wao wametulia zao tu kimya lakini PK anaweweseka akifahamu ugali unaingia mchanga na dunia inajua kwa uwazi hayo mambo yote.
 
Mtoto wa Museveni alikuwa na hamu na KDF sasa huko Msituni ndio kutamu Wakenya watarudi bila Viatu.

Uganda iwasupply M23 tuone kama DRC na Kenya hawajaanza kulialia.

Nani atawasupply Kenya au wanategemea KenyanAirways?

Bora yule Mzee wa Kijaluo angeshinda uchaguzi Kenya isingeingizwa kwenye Trap kwenda kuua Vijana wake mwituni.
 
Mtoto wa Museveni alikuwa na hamu na KDF sasa huko Msituni ndio kutamu Wakenya watarudi bila Viatu.

Yule muhoozi ni general lakini hana commanding kwa sasa pale UPDF na zile mbwembwe kua atapiga nairobi ni kwa sababu alijua kabisa KDF inakwenda kufurushwa kwa taarifa yako TPDF wako na KDF na KDF haijajipeleka tu bahati mbaya ni wakuu wa nchi kadhaa walishaongea, UPDF haina nguvu kushinda KDF jeshi ni uchumi kama uchumi wako ni mdogo uwe na technology ambapo waafrika ni importers wa kila kitu hata majeshi ya afrika hununua kila kitu hawana product ambayo ni ya kutetemesha dunia, millitary personal ambayo inakwenda kumtandika M23 ni kubwa utaona nchi za east na sadc zinadeploy troops kuanzia leo yaani ni vita full, huwezi kumuunga mkono kagame eti sababu ya FDLR , ambao wametulia tu hawamshambulii zaidi mwenyewe kutafuta sababu za uongo na kweli huku akijua FARDC hainawahi kuipa hata single bullet FDLR huku yeye akiisapoti M23 kwa kila kitu
 
Mtoto wa Museveni alikuwa na hamu na KDF sasa huko Msituni ndio kutamu Wakenya watarudi bila Viatu.

Uganda iwasupply M23 tuone kama DRC na Kenya hawajaanza kulialia.

Nani atawasupply Kenya au wanategemea KenyanAirways?

Bora yule Mzee wa Kijaluo angeshinda uchaguzi Kenya isungeingizwa kwenye Trap kwenda kuua Vijana wake mwituni.

UPDF Ni ndogo kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe na kinachowacost FARDC ni vile hawako organised na jeshi lao lina mamluki kibao wanaouza ramani lakini wangekua pamoja waasi wote M23 , maimai, lutumba wa pokos na uchafu mwingine wote ingekua ishakua historia DRC
 
Hayawi hayawi sasa yamekuwa.

Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Kenya mheshimiwa Rais William Ruto mapema leo amekabidhi bendera ya kenya kwa Jeshi kabambe la kenya KDF kwenda kuwaokoa Wacongoman na masaibu ya vita yanayowasumbua.

View attachment 2404964
View attachment 2404965
KDF ni jeshi imara na lenye nguvu ukanda huu wa Afrika Mashariki hii ni safi kwa afya ya jumuiya yetu lazima M23 wafurushwe haraka sana.
Viva KDF Viva KDF.
Kilicho mpata savimbi kinakaribia kumpata kagame
 
Attachments

  • IMG_20221102_163346.jpg
    IMG_20221102_163346.jpg
    98.1 KB · Views: 7
  • IMG_20221102_163349.jpg
    IMG_20221102_163349.jpg
    103.2 KB · Views: 7
UPDF Ni ndogo kwa KDF huo ndio ukweli wenyewe na kinachowacost FARDC ni vile hawako organised na jeshi lao lina mamluki kibao wanaouza ramani lakini wangekua pamoja waasi wote M23 , maimai, lutumba wa pokos na uchafu mwingine wote ingekua ishakua historia DRC
Hebu tuwekee hapa mission/Vita ambazo KDF imepigana ili tuone uzoefu wake kulinganisha na UPDF.

Zisianze story sijui nchi flani Ina budget kubwa ya jeshi kuliko nyingine,maana Vita Ni zaidi ya budget na imeshakua proven hivyo Mara kibao.

So nasubiri unitajie hizo mission/Vita kdf ilizopigana mkuu.
 
Uhuru nae hivyo hivyo alituma KDF kule Somalia, Matokeo yake Alshabaab wakaja kushambulia Kenya eg. ( West Gatte attack) Ruto nae anaenda kufanya jaribio ambalo kwa haraka haraka ni vigumu hicho kikosi kufanikiwa dhidi ya M23, Serikali za DRCKongo zimepambana na hhili kundi kwa muda mpaka sasa na halionekani kurudi nyuma, kila siku wanasumbua raia katika majimbo kadhaa na kuteka miji, KDF wanaenda kufanya nini kipya humo msituni?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kwahiyo unashauri M23 waachwe tu?
 
Mtoto wa Museveni alikuwa na hamu na KDF sasa huko Msituni ndio kutamu Wakenya watarudi bila Viatu.

Uganda iwasupply M23 tuone kama DRC na Kenya hawajaanza kulialia.

Nani atawasupply Kenya au wanategemea KenyanAirways?

Bora yule Mzee wa Kijaluo angeshinda uchaguzi Kenya isungeingizwa kwenye Trap kwenda kuua Vijana wake mwituni.
Kenya hapigwi mtu kule DRC.
Kenya ngoma nyingine.
 
Back
Top Bottom