Rais Yoon wa Korea Kusini amekamatwa na Polisi kwa jaribio lake la kutangaza hali ya hatari (martial law)mwezi Desemba

Huu msemo na ule mwinge wa "hakuna uhuru usio na mipaka" huwa inamaanisha nini??
Maana yake ni kuwa, uhuru wa raia mmoja unadhibitiwa na uhuru wa raia mwingine au Mipaka yake ni uhutu wa raia mwengine.
 
Halafu tunatarajia CCM waridhie katiba mpya. Yalibvyo majangili, hakuna hata mmoja atakaebaki uraini katiba mpya ikipitishwa.
 
Sheria zao mbovu sana mipolisi inaona sifa kuwafunga marais wao!!!! Marais wa Korea kusini wanateseka sana.
 
Maana yake ni kuwa, uhuru wa raia mmoja unadhibitiwa na uhuru wa raia mwingine au Mipaka yake ni uhutu wa raia mwengine.
Mbona sokoni Karume wamachinga wanapiga kelele muda wote bila kujali kuna watu ambao hawahitaji na hawapendi hizo kelele??
 
Mbona sokoni Karume wamachinga wanapiga kelele muda wote bila kujali kuna watu ambao hawahitaji na hawapendi hizo kelele??
Mipaka ya uhuru ipo kama msumeno na inatanuka na kusinyaa kama mpira. Haipo Fixed.

Wasiotaka kelele sokoni wana haki ya kuzikataa bila kuingilia uhuru wa wanaopiga kelele hapo sokoni.

Hapo hapo machinga na hiyo haki yao ya kupiga kelele wakienda hospitali wana uhuru wa kupiga kelele bila kuingilia uhuru wa wagonjwa kusikia kelele zao.

Kwa ufupi, mipaka ya kupiga kelele kwa machinga inategemeana na eneo alilopo. Sokoni mipaka inaenda mbali kuliko mahakamani.
 
Mipaka ya wahuburi na dini ikoje?
Wahuburi wanoingia na kuanza kuhubiri kwenye bus hawaingilii uhuru wa watu wasiohitaji hayo mahubiri?
Adhana haiingili uhuru wa watu wasio husika nayo?
Kwa nini shule zilikuwa zinalazimisha wanafunzi wote wahudhurie vipindi vya dini? Huku sio kuingilia uhuru wa wengine?
 
Mipaka ya wahuburi na dini ikoje?
Wahuburi wanoingia na kuanza kuhubiri kwenye bus hawaingilii uhuru wa watu wasiohitaji hayo mahubiri?
Wanaingilia.
Adhana haiingili uhuru wa watu wasio husika nayo?
Inaingilia
Kwa nini shule zilikuwa zinalazimisha wanafunzi wote wahudhurie vipindi vya dini? Huku sio kuingilia uhuru wa wengine?
Ni kuingilia.
 
Hiyo ni zaid ya katiba, vuta picha Mama Abdul kabebwa Machupichupi na wale Trafiki wawili 😂
 
Marekani walijifanya kumkingia kifua wamempiga chini

"It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal."
–Henry Kissinger (Former U.S Secretary of State)
 
Wenye Sheria na Katiba zao hao ...
 
Marekani walijifanya kumkingia kifua wamempiga chini

"It may be dangerous to be America's enemy, but to be America's friend is fatal."
–Henry Kissinger (U.S Secretary of State)
Absolutely 💯 💯
 
Hakuna katiba bora duniani,binaadamu ni kiumbe puuzi kuliko ng,,ombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…