Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Huu msemo na ule mwinge wa "hakuna uhuru usio na mipaka" huwa inamaanisha nini??hakuna demokrasia isiyo na mipaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu msemo na ule mwinge wa "hakuna uhuru usio na mipaka" huwa inamaanisha nini??hakuna demokrasia isiyo na mipaka.
Maana yake ni kuwa, uhuru wa raia mmoja unadhibitiwa na uhuru wa raia mwingine au Mipaka yake ni uhutu wa raia mwengine.Huu msemo na ule mwinge wa "hakuna uhuru usio na mipaka" huwa inamaanisha nini??
Sheria zao mbovu sana mipolisi inaona sifa kuwafunga marais wao!!!! Marais wa Korea kusini wanateseka sana.Kitu kibaya kwenye maisha ni pale unafanya maamuzi kiserikali lakini tatizo likitokea unashughulikiwa peke yako.
Ila hiyo nchi itakuja kupata matatizo makubwa sana kama itaendelea kuhangaika kutafuta mtu mkamilifu.
Kwa sababu mtangulizi wa huyo rais yupo jela
Kwao kuna "UONGOZI", kwetu kuna "UTAWALA". Hakuna kiongozi anayekuwa juu ya sheria na katiba ya nchi, lakini mtawala yupo juu ya yote hayo.Katiba gani ya kilofa namna hii,Rais anakamtwa vipi na vijana wa Murilo wa huko?.
Mbona sokoni Karume wamachinga wanapiga kelele muda wote bila kujali kuna watu ambao hawahitaji na hawapendi hizo kelele??Maana yake ni kuwa, uhuru wa raia mmoja unadhibitiwa na uhuru wa raia mwingine au Mipaka yake ni uhutu wa raia mwengine.
Mipaka ya uhuru ipo kama msumeno na inatanuka na kusinyaa kama mpira. Haipo Fixed.Mbona sokoni Karume wamachinga wanapiga kelele muda wote bila kujali kuna watu ambao hawahitaji na hawapendi hizo kelele??
Mipaka ya wahuburi na dini ikoje?Mipaka ya uhuru ipo kama msumeno na inatanuka na kusinyaa kama mpira. Haipo Fixed.
Wasiotaka kelele sokoni wana haki ya kuzikataa bila kuingilia uhuru wa wanaopiga kelele hapo sokoni.
Hapo hapo machinga na hiyo haki yao ya kupiga kelele wakienda hospitali wana uhuru wa kupiga kelele bila kuingilia uhuru wa wagonjwa kusikia kelele zao.
Kwa ufupi, mipaka ya kupiga kelele kwa machinga inategemeana na eneo alilopo. Sokoni mipaka inaenda mbali kuliko mahakamani.
Wanaingilia.Mipaka ya wahuburi na dini ikoje?
Wahuburi wanoingia na kuanza kuhubiri kwenye bus hawaingilii uhuru wa watu wasiohitaji hayo mahubiri?
InaingiliaAdhana haiingili uhuru wa watu wasio husika nayo?
Ni kuingilia.Kwa nini shule zilikuwa zinalazimisha wanafunzi wote wahudhurie vipindi vya dini? Huku sio kuingilia uhuru wa wengine?
Wenye Sheria na Katiba zao hao ...Rais wa Korea Kusini Yoon Suk Yeol amekamatwa kwa jaribio la kutangaza sheria ya kijeshi.
Tukio hili linaashiria mara ya kwanza katika historia ya Korea Kusini ambapo rais aliyeko madarakani amekamatwa
Yoon anakabiliwa na mashtaka ya uasi na ufisadi kutokana na tangazo lake la sheria ya kijeshi mwezi uliopita
==================================================
South Korea’s impeached President Yoon Suk Yeol was arrested on Wednesday in a massive police operation, with the embattled leader defiantly insisting an investigation into him is illegal and he only complied to prevent violence.
His arrest, the first ever for an incumbent president, is the latest development for one of Asia's most vibrant democracies, which has a history of prosecuting and imprisoning former leaders.
In a video message recorded before he was escorted to the headquarters of South Korea's anti-corruption agency, Mr Yoon said the “rule of law has completely collapsed in this country”.
The operation to arrest Mr Yoon involved some 3,000 police officers after he had been holed up for weeks at his residence in Seoul while vowing to “fight to the end” against efforts to oust him. He had been guarded by a small army of personal security that blocked a previous arrest attempt.
The saga began on December 3 when Mr Yoon declared martial law for the first time in 44 years, saying it was needed to tackle “anti-state” opposition using their legislative majority to thwart his political agenda. He deployed troops around the National Assembly but legislators managed to get through the blockade and vote to lift the measure.
His declaration shocked South Koreans, rattled Asia's fourth largest economy and started an unprecedented period of political turmoil.