R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 44,629 Reaction score 83,056 Oct 15, 2023 #21 Hakuna wote wahuni tu, walio hai na waliokufa, wote wahuni
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 29,028 Reaction score 69,666 Oct 15, 2023 #22 Sexless said: Jiwe hakuwa kiongozi. Alijawa na ushamba halafu akawa dikteta yaani alikuwa dikteta mshamba. Ndiyo maana amekufa. Click to expand... Imesimama njoo ukalie
Sexless said: Jiwe hakuwa kiongozi. Alijawa na ushamba halafu akawa dikteta yaani alikuwa dikteta mshamba. Ndiyo maana amekufa. Click to expand... Imesimama njoo ukalie
std7 JF-Expert Member Joined May 6, 2011 Posts 2,293 Reaction score 3,928 Oct 15, 2023 #23 Tanzania nchi maskini duniani kwa sababu ya watawala walio pita na waliopo Misingi mibovu waliyoweka imeendelea kulea ujinga maradhi na umaskini.
Tanzania nchi maskini duniani kwa sababu ya watawala walio pita na waliopo Misingi mibovu waliyoweka imeendelea kulea ujinga maradhi na umaskini.
passioner255 JF-Expert Member Joined Apr 22, 2019 Posts 6,192 Reaction score 11,897 Oct 15, 2023 #24 ChoiceVariable said: Samia Rais wa Vitendo sio porojo Click to expand... Nyerere alikuwa hawezi kuuza Maliasi za nchi.samia anauza.
ChoiceVariable said: Samia Rais wa Vitendo sio porojo Click to expand... Nyerere alikuwa hawezi kuuza Maliasi za nchi.samia anauza.