Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Mwisho wa hii vita ni mbaya sana ,ila marekani hajawahi kuwa rafiki mzuri siku zote,urafiki wa kimasirahi ni mbaya mno.
 
Mwisho wa hii vita ni mbaya sana ,ila marekani hajawahi kuwa rafiki mzuri siku zote,urafiki wa kimasirahi ni mbaya mno.
Ukraine wajiandae kuneemeka kwa kipindi hiki lkn baada ya muda watafirisika
 
Kuna mtu anaenda kuinamishwa soon subiri apandwe na mabeberu wa nato wakimdai hela zao

Jinga sana hili Selepunga
 
Unaonekana hilo neno ulilisikia tu sehemu ukaja lipachika. Nimeshakueleza sehemu kapate darsa sheikh. Haya mambo maamuma huwa hawayafaham mpaka sisi watu wa Ilim.
Nimeshaeleza fuatilia, sina muda wa kulitolea maelezo tena
 
Wachana na huyo Lofa wa mambo yanayohitaji kutumia akili
Naona kakomaa na mimi, anataka ufafanuzi kijanja.......nimeshamwambia afuatile nilipo eleza maana ya hicho anachotaka kujua.
 
Warusi watachukuwa kila sehemu takayoshinda
 
ila hii vita mpaka sasa naona nikama Mrusi ameshindwa kwasababu ilikua vita ya wiki moja sasa inakula miaka du usimdharau usiyemjua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…