Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Rais Zelensky utawalipa nini NATO?

Uvamizi wa Ukraine na harakati dhidi ya ushoga ni kama vimeonyesha hakuna tofauti kubwa sana kati ya wapinzani na chama tawala.
Kinachoniacha hoi ni mtu hambaye nilimuona kuwa role model wangu,akiwemo Salary Slip pamoja na wengine waliokuwa wakiungana kwa pamoja kupinga mauji ya wasio na hatia, udhalimu,roho mbaya,ufedhuli ,kiburi na kila aina ya tabia mbaya alizokuwanazo jiwe..,eti Leo hii mtu huyohuyo anaungana na wengine kushangilia mauaji yanayofanywa na dikiteta Putin kwa watu hambao hawakuwai kumrushia hata punje ya Mchele kwenye mipaka yake..mtu huyohuyo anamshangilia kiongozi anayefanya kila njia kuwanyamazisha wakosoaji wake ikiwemo kuwapa sumu

Kweli ukijaribu kumsoma mwanadamu unaweza kupata stroke kwenye ubongo,ni vema mambo mengine ukarelax na kujifanya kama huyaoni!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hizo nchi ni makoloni ya Marekani hawana uhuru Tena wakujiamulia mambo Yao, na chumi ZAO zimeshkamanishwa na uchumi wa Marekani. Hufuata amri za Marekani
Kwahiyo kwako ni Bora hizo nchi zingeshkamanishwa kiuchumi na China pamoja na urusi kupitia yuan na rubu au sio?
 
Ukreni ndio mchokozi, amemkaribisha adui wa urusi uwanjani kwake na adui wa urusi akaanza kusogeza mawe ya kumpopoa Mrusi. Mrusi akamwambia jirani yake hicho unachofanya sio sahihi .na akamkumbusha kuhusu kibanda alichopewa na Babu yake na urusi yaani cremea,ukreni akaendelea kushupza shingo.Urusi akamuuliza mbona na ndugu zangu unawanyanyasa ukreni akaendelea kupewa kiburi na adui wa urusi. URUSI akaona isiwe shida ngoja ni yatoe hayo mawe kumbe Alisha Chelewa ukreni alshapewa mpaka mapanga na marungu ndio maana mpaka Leo ugomvi umekuwa mkubwa. UKWELI NI KWAMBA HUU UGOMVI UNACHOCHEWA NA USA, LENGO LA USA NI KUIZOOFISHA URUSI. NA ALIAMINI KUWA MRUSI HAWEZI SIMA A MUDA WOTE IMEKUSA KINYUME UCHUMI WA URUSI HAUPIMWI GDP YA KIMAGHARIBI MAANA HATA SPAIN NA ITALY WANA GDP KUBWA, SAWALI WANGE WEZA KUSIMAMA ZIDI YA MATAFA 30+
Hizi ni ngano tu.
 
Huo ndiyo ukweli
Hata Hittler aliteka sio maeneo tu Bali nchi nyingi na hakufanikiwa kuwa hero. Akaishia kufia kwenye hand aki Kama panya tu.

Hukati kuwa Hero kwa kuvamia nchi zingine Bali kuwalinda watu wako kutoka kwa wavamizi.
 
Duh watu mnaichukia Ukraine kuliko Urusi iliyoshiriki kikao cha kueneza na kubariki ukolon Afrika , Ukraine ya watu haina baya na afrika ila waafrika wana ubaya nayo , kosa lao ni kivamiwa
Soma historia wewe Ukraine ni urusi .adui wa Ukraine ni huyo puppet wa nchi za West zelensky ambaye kapandikizwa kuivuruga Russia lazima wamnyooshe.
 
Hizo hbr umetoa wap mkuu ? wkt hata serikali ya urusi wala putin hawajawai sema hizo stories , ProRussia weng mna habari za uongo sana kuhusu huu mgogoro , wengine wanasema et Kaivamia kisq Ukraine ilitaka kujiunga na NATO ila hii pia Putin hakuitaja kama sababu za kuivamia Ukraine , Putin aliivamia Ukraine kuyasaidia majimbo yaliyotaka kujitenga sio hizo story zenu maana kila mtu ana haki ya kuweka silaha popote pale kikubwa iwe ndan ya ardhi yake Fuatiria usipende stori za vijiwen
Ongeza scope ya uelewa wako kuna mambo bado hujayaelewa kuhusu hii vita. Urusi hapigani na Ukraine anapigana na USA, EU na NATO
 
Ukiwa kibaraka kamwe huwezi kuwa na huruma kwa wananchi wako.

Rais Zelensky ameamua kuwauza wananchi wake kwa Nato bila hata ya huruma.

Nato wamekupatia vifaru,risasi,na mitambo mikubwa ya kuangamiza watu bure.

Je, unaamini hivyo vifaa wanakupatia bureee? Jiandae kuwalipa hao Nato maana hakuna cha bure duniani.

Sasa hivi bila aibu unatembelea nchi wanachama kwa jeuri kabisa huku ukijipiga kifua kuwa unampiga Mrusi kwa silaha za kupewa au kuhongwa ili baadae uwauze wananchi wako.

Hakika Mungu atakulipa kwa huo utumwa wako uliokubali kuuingia ili utimize dhamira na matamanio ya kupata sifa za kijinga.

Mmawia niko paleeee nikishuhudia wana Nato wakikutumia kama taulo la kufutia miguu yao na mikono yao iliyo jaa damu za wananchi wako.

View attachment 2628605
1. Wewe ni Raia wa Ukraine?
2. Wewe ni Raia wa Urusi?
3. Wewe upo Umoja wa NATO?
4. Wewe ni Raia wa Mchambawima?
 
Ukraine inatumika kama buffer zone (uwanja wa vita) kwenye vita ya wababe wa dunia kupigania maslahi yao ya kiulinzi na kiusalama na si kingine......na baada ya hiyo vita ukraine itajengwa upya kwa pesa za wababe hao hao na hakuna watakacholipa zaidi ya hiki wanacholipa sasa.
Unafahamu maana ya Buffer Zone?
 
Back
Top Bottom