Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

Ni kweli Urusi haiwezi kupigana na nchi zote za NATO na ikabaki salama, lakini pia ni kweli kuwa nchi zote za NATO haziwezi kuipiga Urusi na zikabaki salama!!
Ngoja nikupe hii: Amerika imekuwa ikiishawishi poland itoe ndege zake za vita (Mig 29) kwa Ukraine halafu yenyewe itaipa Poland ndege zingine kufidia zile zilizotolewa na Poland. Poland ikakubali, lakini ikasema sisi tutawapa Marekani, kisha Marekani ndio wawajibike kuzipeleka Ukrane!! Mchezo ukawa umeishia hapo!! Marekani ikalalamika kuwa hayo hayakuwa mapatano!! Hakuna anayethubutu kufanya chochote kitakachohalalisha Urusi iishambulie!! Marekani keshaingia baridi tayari, na hakuwa na jibu lolote zaidi ya kulalamika kuwa hamkutujulisha hivyo kabla. Poland imeshashtuka kungali mapema kuingizwa choo cha kike na Marekani kama yule Zelensky wa Ukraine alivyojikuta kwenye choo cha kike!!
Kwamba Marekani akipeleka ndege za kivita Ukraine atashambuliwa na Urusi? Ridiculous.

Unamchukilia Marekani poa poa sana enhe! Mnaaminishwa isivyo kawaida kwamba Urusi ana nguvu hiyo ila jitahidi usiwe unameza kila kitu unachomezeshwa.

Marekani ndiye kiranja mkuu wa dunia kwa miongo kadhaa sasa.
 
Acha kuchukulia mambo kirahisi hata kama urusi ni moja na NATO ni wengi hilo halisaidii na wala haiwezi kuhalalisha hao unaowasema kushinda vita. mabomu ya nuclear sio bunduki za mikononi kwamba mtu anaweza kukwepa risasi ikipigwa! nuclear ikitua sehemu hadi mawe yanasagika.. na isitoshe nuclear huchukua eneo kubwa sana kupiga na kuua kwa wakati mmoja..Rusia anaweza kuwa peke yake dhidi ya NATO lkn hebu fuatilia siraha zake alizonazo.. ana Tsar bomb ambayo Ikitua moja tu inamaliza nchi yote ya England ikiwezekana na majirani zake Je akituma Tsar 5 hapo ulaya yote kwisha ndani ya dk 20 tu.. ko ndugu vita vya hawa wababe havina uwingi wala ukubwa wa jeshi bali itategemea timing ya kurusha nukes zake tu..
HiZo akili umezitoa wap? Ndio maana nikakwambia urusi hawezi kupigana na nchi zote za NATO akabaki salama.

Kama nuclear NATO pia wanazo, imagine huyo Putin wako let say anarusha hilo kombora lake uningereza kama ulivyosema then at the same time USA, France, German, Canada at the same time wana respond je kutakuwa na urusi au vifusi tu,
 
Ni kweli Urusi haiwezi kupigana na nchi zote za NATO na ikabaki salama, lakini pia ni kweli kuwa nchi zote za NATO haziwezi kuipiga Urusi na zikabaki salama!!
Ngoja nikupe hii: Amerika imekuwa ikiishawishi poland itoe ndege zake za vita (Mig 29) kwa Ukraine halafu yenyewe itaipa Poland ndege zingine kufidia zile zilizotolewa na Poland. Poland ikakubali, lakini ikasema sisi tutawapa Marekani, kisha Marekani ndio wawajibike kuzipeleka Ukrane!! Mchezo ukawa umeishia hapo!! Marekani ikalalamika kuwa hayo hayakuwa mapatano!! Hakuna anayethubutu kufanya chochote kitakachohalalisha Urusi iishambulie!! Marekani keshaingia baridi tayari, na hakuwa na jibu lolote zaidi ya kulalamika kuwa hamkutujulisha hivyo kabla. Poland imeshashtuka kungali mapema kuingizwa choo cha kike na Marekani kama yule Zelensky wa Ukraine alivyojikuta kwenye choo cha kike!!
Hiyo haimaanishi kwamba NATO inashindwa kumsambaratisha urusi ni kwa vile tu hawana sababu za kufanya hivyo kwa sasa,

Wkt huu mrusi anachapwa huku watu wakiwa kwenye desk wakishika kalamu na karatasi na laptop.
 
HiZo akili umezitoa wap? Ndio maana nikakwambia urusi hawezi kupigana na nchi zote za NATO akabaki salama.

Kama nuclear NATO pia wanazo, imagine huyo Putin wako let say anarusha hilo kombora lake uningereza kama ulivyosema then at the same time USA, France, German, Canada at the same time wana respond je kutakuwa na urusi au vifusi tu,
Tatizo lenu mimetengeneza upinzani wa mabishano yasiokuwa na maana yoyote.. mi simsifii urusi wala marekani mi nimekwambia vita vya kutumia nukes ni timing tu.. wewe unaangalia uwingi wa nchi lkn pia hujaangalia uwiano wa silaha za nukes walizonazo nato vs russia... jumla ya nukes alizonazo urusi ni saw na uchanganye mataifa kumi ya NATO akiwemo na marekani.. kama unabisha kagoogle
 
Back
Top Bottom