Rais Zelensky wa Ukraine anapoomba NATO waweke "No fly zone" nchini Ukraine, je anajua athari yake kwa nchi yake? achilia mbali athari kwa NATO

Kwamba Marekani akipeleka ndege za kivita Ukraine atashambuliwa na Urusi? Ridiculous.

Unamchukilia Marekani poa poa sana enhe! Mnaaminishwa isivyo kawaida kwamba Urusi ana nguvu hiyo ila jitahidi usiwe unameza kila kitu unachomezeshwa.

Marekani ndiye kiranja mkuu wa dunia kwa miongo kadhaa sasa.
 
HiZo akili umezitoa wap? Ndio maana nikakwambia urusi hawezi kupigana na nchi zote za NATO akabaki salama.

Kama nuclear NATO pia wanazo, imagine huyo Putin wako let say anarusha hilo kombora lake uningereza kama ulivyosema then at the same time USA, France, German, Canada at the same time wana respond je kutakuwa na urusi au vifusi tu,
 
Hiyo haimaanishi kwamba NATO inashindwa kumsambaratisha urusi ni kwa vile tu hawana sababu za kufanya hivyo kwa sasa,

Wkt huu mrusi anachapwa huku watu wakiwa kwenye desk wakishika kalamu na karatasi na laptop.
 
Tatizo lenu mimetengeneza upinzani wa mabishano yasiokuwa na maana yoyote.. mi simsifii urusi wala marekani mi nimekwambia vita vya kutumia nukes ni timing tu.. wewe unaangalia uwingi wa nchi lkn pia hujaangalia uwiano wa silaha za nukes walizonazo nato vs russia... jumla ya nukes alizonazo urusi ni saw na uchanganye mataifa kumi ya NATO akiwemo na marekani.. kama unabisha kagoogle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…