mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine.
Anaona haitoshi kupewa silaha na fedha na mafunzo tu bali angetamani vita vya ana kwa ana kati ya magharibi na urusi.
Mwanzoni alitaka NATO iweke no fly zone nchini ukraine ili ndege za urusi ziweze kutunguliwa na NATO. Ukifanya hivyo ni vita ya moja kwa moja kati ya NATO na Urusi. NATO walikataa kabisa ombi hilo!!
Kipindi hiki Ukraine bila shaka wameamua kurusha missile Poland wakati ambapo Urusi ilikuwa inaishambulia Ukraine ili kusingizia kuwa Urusi imeishambulia nchi ya NATO.
Haraka haraka Zelensky akatangaza kuwa Urusi nimeishambulia Poland mwanachama wa NATO hata kabla Serikali ya Poland haijasema kitu!! Hapa Ukraine inataka kuilazimisha NATO kuingia vitani na Urusi!!
Ila siyo rahisi NATO wakakubaliana na hilo na kuamua kuitumbukiza dunia kwenye maafa makubwa ili mradi tu kumfurahisha Zelensky.
Biden keshasema INAVYOELEKEA URUSI HAIKUHUSIKA, sasa between the lines/katikati ya mistari Biden anasema Ukraine imehusika maana kama siyo Urusi basi Ukraine itakuwa imehusika.
Mwanzo Zelensky aligomea mazungumzo lakini leo ndo anayatafuta mazungumzo ya amani na Urusi kwa udi na uvumba.