Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

Rais Zelensky wa Ukraine anaweza kuitumbukiza dunia kwenye janga la vita kuu ya dunia

Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine!!

Anaona haitoshi kupewa silaha na fedha na mafunzo tu bali angetamani vita vya ana kwa ana kati ya magharibi na urusi.

Mwanzoni alitaka NATO iweke no fly zone nchini ukraine ili ndege za urusi ziweze kutunguliwa na NATO. Ukifanya hivyo ni vita ya moja kwa moja kati ya NATO na Urusi. NATO walikataa kabisa ombi hilo!!

Kipindi hiki Ukraine bila shaka wameamua kurusha missile Poland wakati ambapo Urusi ilikuwa inaishambulia Ukraine ili kusingizia kuwa Urusi imeishambulia nchi ya NATO.

Haraka haraka Zelensky akatangaza kuwa Urusi nimeishambulia Poland mwanachama wa NATO hata kabla Serikali ya Poland haijasema kitu!! Hapa Ukraine inataka kuilazimisha NATO kuingia vitani na Urusi!!

Ila siyo rahisi NATO wakakubaliana na hilo na kuamua kuitumbukiza dunia kwenye maafa makubwa ili mradi tu kumfurahisha Zelensky!!

Biden keshasema INAVYOELEKEA URUSI HAIKUHUSIKA, sasa between the lines/katikati ya mistari Biden anasema Ukraine imehusika maana kama siyo Urusi basi Ukraine itakuwa imehusika!!

Mwanzo Zelensky aligomea mazungumzo lakini leo ndo anayatafuta mazungumzo ya amani na Urusi kwa udi na uvumba!!
wewe ni mpumbav , wew ni mpumbav humuon alievamia nchi iliyo huru unamuona mbaya anaejiteteaa hizo ni dalili za ukichaa , nenda milembe , Unaona sawa Urusi kuvamia ukraine ila sio sawa Ukraine kijitetea dhidi ya mvamiz
 
Comedian beggar is 100% pure psycho..
His eyes can tell.
Americans have created a monster that will eat them in the end.
 
Luhansk na Donetsk wameamua kujiunga na Russia kama Taiwan mnavyotaka ijotenge na China..
Kasome genocide alizosababisha comedian katika hiyo mikoa..
PSycho Zele ought to be i n jail.
 
It can be what is known as a weapon misfire that unintentionally landed on a wrong target a common scenario in any war.
 
Wazee wa Article 5 vipi wankwepakwepa. Zele kashasema ni Russia kapiga, fanyeni mambo mkiwashe!!

Russia cyo Zimbabwe nyie
 
  • Poland’s president says the rocket that hit a small Polish village, killing two, was “very likely” part of Ukraine’s anti-missile defence system.
Mbinu ya Zelensky imebuma!! Ila bado kuna wenye usongo na urusi wanasema hata kama Ukraine ndiyo iliyorusha makombora nchini Poland bado wa kulaumiwa ni Urusi! Hawa kuna siku watakipata wanachokitafuta!!
 
Zelensky hana uwezo wa kauanzisha vita ya dunaia ye anatumika na mataifa makubwa, huyo ni puppets tuu.

Wenye maslahi wapo nyuma huko, wao ndio wauza silaha wao ndio wanataka soko la geso na mafuta la ulaya, huyo zelensky ana maslahi gani na vita!
Zelensky hana maslahi na vita lakini ana maslahi makubwa na kushindwa kwa Urusi kwenye vita vinavyoendelea!! Ili Urusi ishindwe anaona ni vizuri kuipambanisha na NATO, na akifanikiwa kuipambanisha Urusi na NATO hapo atakuwa ameitumbukiza dunia kwenye vita vita kuu ya dunia!! Mataifa yanayomiliki nyuklia yakipambana cheche zake zitasambaa duniani kote!! Logic iko hapo!!
 
Kuna watu washabiki tu...lakini tangu mwanzo niliwaambia watu kama ZELENSKY ndio wanaosababisha dunia ijute baadae..
 
Marekani na URusi ndio walewale wazungu hawawezi kurudia makosa ya miaka ya 30 na 20 huko wote wanajua uchungu wa vita za dunia.
 
Wazee wa Article 5 vipi wankwepakwepa. Zele kashasema ni Russia kapiga, fanyeni mambo mkiwashe!!

Russia cyo Zimbabwe nyie
Article 5 ni ya moto sana!! Ni kichaa tu ndiye anaweza ku-invoke hiyo!! Hata kama ni kweli urusi ingekuwa imepiga, lazima ingetafutwa sababu ya kukwepesha!! Labda liwe ni shambulizi endelevu hapo hakuwezi kuwa na namna nyingine!! Tatizo la vita vya super powers hakuna atakayeibuka mshindi!! Wataangamizana wote!! Yule atakayeona anaelemewa lazima alipue nyuklia, na mwingine naye anajibu kwa nyuklia! Nikukumbushe kwenye vita vikuu vya pili, Japan alimsumbua sana Marekani na marekani akaona si rahisi kumshinda Japan!! Alichokifanya ni kulipua mara mbili mabomu ya nyuklia!! Japan ilisalimu amri maana yenyewe haikuwa na bomu la nyuklia. Kama ingekuwa nalo na yenyewe ingelipua! Nyuklia powers kupigana ni kiyama!! Kila mwenye akili timamu lazima akwepe!!

Nikuoneshe kitu kingine: Uingereza imelipua bomba la mafuta la Urusi Nord Strem 1 & 2. Hilo halina ubishi, lakini Urusi ikaamua kumezea hivyo hivyo ili kuepusha shari. Ingeamua kulipiza kisasi na yenyewe itafute cha Uingereza ikilipue hapo dunia ingeingia pia kwenye vita kuu ya 3.
 
‘No indication’ that Russia plans to attack NATO – Stoltenberg​

The head of the US-led alliance said a Ukrainian anti-air missile likely hit Polish territory
‘No indication’ that Russia plans to attack NATO – Stoltenberg

Jens Stoltenberg speaks during a press conference at the NATO headquarters in Brussels, Belgium, November 16, 2022 © AP / Olivier Matthys
NATO Secretary General Jens Stoltenberg told reporters on Wednesday that the alliance sees “no indication” that Russia is preparing “offensive military actions” against it. While Kiev accused Russia of launching a missile strike on Poland, Stoltenberg said the missile was likely Ukrainian.
Speaking after a meeting of NATO’s North Atlantic Council, Stoltenberg said the explosion that killed two people near the Polish village of Przewowdow on Tuesday “was likely caused by a Ukrainian air defense missile.”
“We have no indication that Russia is preparing offensive military actions against NATO,”
he added.
The explosion was instantly blamed on Russia by Ukrainian President Vladimir Zelensky, who called it a “Russian attack on the collective security” of NATO, of which Poland is a member.

However, US President Joe Biden said this explanation was “unlikely,” and Polish President Andrzej Duda opted not to call for urgent consultations under Article 4 of the NATO Treaty, describing the explosion as an “unfortunate accident” likely caused by a Ukrainian missile.
 
Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine!!

Anaona haitoshi kupewa silaha na fedha na mafunzo tu bali angetamani vita vya ana kwa ana kati ya magharibi na urusi.

Mwanzoni alitaka NATO iweke no fly zone nchini ukraine ili ndege za urusi ziweze kutunguliwa na NATO. Ukifanya hivyo ni vita ya moja kwa moja kati ya NATO na Urusi. NATO walikataa kabisa ombi hilo!!

Kipindi hiki Ukraine bila shaka wameamua kurusha missile Poland wakati ambapo Urusi ilikuwa inaishambulia Ukraine ili kusingizia kuwa Urusi imeishambulia nchi ya NATO.

Haraka haraka Zelensky akatangaza kuwa Urusi nimeishambulia Poland mwanachama wa NATO hata kabla Serikali ya Poland haijasema kitu!! Hapa Ukraine inataka kuilazimisha NATO kuingia vitani na Urusi!!

Ila siyo rahisi NATO wakakubaliana na hilo na kuamua kuitumbukiza dunia kwenye maafa makubwa ili mradi tu kumfurahisha Zelensky!!

Biden keshasema INAVYOELEKEA URUSI HAIKUHUSIKA, sasa between the lines/katikati ya mistari Biden anasema Ukraine imehusika maana kama siyo Urusi basi Ukraine itakuwa imehusika!!

Mwanzo Zelensky aligomea mazungumzo lakini leo ndo anayatafuta mazungumzo ya amani na Urusi kwa udi na uvumba!!

Nakuunga mkono, watu hatari Duniani hivi sasa si Zelensky peke yake hata Rais wa Poland is even worse, chuki zake dhidi ya Urusi ni kubwa mno hata kuliko za Zelensky - Rais wa Poland ndiye aliye kuwa anazungumzia mara kwa mara masuala ya ku-invoke article5 ya alliance ya NATO iwapo moja ya member wa NATO akishambuliwa.

Hata hili naona the Brains behind ya tukio hili zima ni Rais huyo wa Poland, aidha kwa kumshawishi Zelensky kwamba pindi atakapo shambuliwa na missiles za jeshi la Urusi, basi ya yeye avurumishe missile moja au mbili hivi kwenye aridhi ya Poland (NATO member) ili Poland iziombe NATO members kwamba ameshambuliwa hivyo watekeleza article 5 mara moja ili huo ndio uwe ndio mwisho wa Taifa la Urusi - ndio akili za jamaa hao wawili zilivyo, bahati nzuri Rais Biden na washauri wake walisha usoma mchezo mzima wa watu hawa wawalili hatarishi ndio maana wakahamua kupuuzia madai yao fake kwa kutumia lugha ya kidiplomasia kuwatuliza, Biden na wenzake wasipo wadhibiti mapema watu hawa wawili wanaweza kuja nambinu mpya ambazo ni hatarishi zaidi mfano kulupua kwa makusudi nuclear power reactors zote tano zinayo tumika kuchemsha mvuke unao endesha mitambo ya kuzalisha umeme.

Kwa mara nyingine tena nampongeza sana sana Biden kuliona hilo mapem,nilikuwa sipendi sana anavyo conduct masuala yanayo husu foreign policy za Merikani, lakini kwa hili nampa dole.👍👍👍
 
Comedian beggar is 100% pure psycho..
His eyes can tell.
Americans have created a monster that will eat them in the end.

Mkuu, hapo umenikubusha sana Osama Bin Laden, walimlea wao wenyewe, walimfundisha mbinu za kikomandoo na kuchanganya mali ghafi za kutengeneza extemly high explosives za mabom hatari sana - mwisho wa siku Osama kawageuzia kibao - mpaka sasa hatuna uhakika kama aliye uwawa huko Abbottabad Pakistani alikuwa Osama kweli au hiyo ilikuwa kiini macho tu.

Cha kushanga jamaa hawa hawajifunzi from their past mistakes, wanarudia makosa hayo hayo over and over again!!
 
Comedian beggar is 100% pure psycho..
His eyes can tell.
Americans have created a monster that will eat them in the end.
vua chupi made in China na kutumia OS ya USA hlf ndo uwaponde hao watu , lasivyo ww ni kichaa pros
 
Luhansk na Donetsk wameamua kujiunga na Russia kama Taiwan mnavyotaka ijotenge na China..
Kasome genocide alizosababisha comedian katika hiyo mikoa..
PSycho Zele ought to be i n jail.
kwenye historia unasoma nusu nusu ? sasa hv ataingia huko na utaona shangwe lake., hao waasi ni kama wale wa kibiti JPM alisingewamaliza leo wangekuwa mjin dar Zele alideal nao mpk basha wao akajitokeza
 
Zelensky hana maslahi na vita lakini ana maslahi makubwa na kushindwa kwa Urusi kwenye vita vinavyoendelea!! Ili Urusi ishindwe anaona ni vizuri kuipambanisha na NATO, na akifanikiwa kuipambanisha Urusi na NATO hapo atakuwa ameitumbukiza dunia kwenye vita vita kuu ya dunia!! Mataifa yanayomiliki nyuklia yakipambana cheche zake zitasambaa duniani kote!! Logic iko hapo!!
wewe ni mpumbav kiwango cha Lami , unaona sawa Urusi kuvamia Crimea kupora Huku Ukraine wakiwa kimya , then Urusi anapandikiza uasi ndan ya Ukraine pia Ukraine ipo kimya Urusi inavamia kbs Ukraine then leo we shogaz mmoja unasema msababish wa WW3 ni ZELE hv mkifirw@ ndo akili inakuw fup hv , alshababbbbb waje wafyeke vichwa vyen hasara hii kwa taifa
 
Rais Zelensky wa Ukraine ni mtu hatari sana!! Yuko tayari kuiingiza dunia kwenye vita kuu ya dunia ili mradi tu afanikiwe kuziingiza nchi zingine moja kwa moja zipigane na Urusi. Amekuwa akitafuta upenyo wa kufanya hivyo tangu mwanzo kabisa wa vita vya ukraine!!

Anaona haitoshi kupewa silaha na fedha na mafunzo tu bali angetamani vita vya ana kwa ana kati ya magharibi na urusi.

Mwanzoni alitaka NATO iweke no fly zone nchini ukraine ili ndege za urusi ziweze kutunguliwa na NATO. Ukifanya hivyo ni vita ya moja kwa moja kati ya NATO na Urusi. NATO walikataa kabisa ombi hilo!!

Kipindi hiki Ukraine bila shaka wameamua kurusha missile Poland wakati ambapo Urusi ilikuwa inaishambulia Ukraine ili kusingizia kuwa Urusi imeishambulia nchi ya NATO.

Haraka haraka Zelensky akatangaza kuwa Urusi nimeishambulia Poland mwanachama wa NATO hata kabla Serikali ya Poland haijasema kitu!! Hapa Ukraine inataka kuilazimisha NATO kuingia vitani na Urusi!!

Ila siyo rahisi NATO wakakubaliana na hilo na kuamua kuitumbukiza dunia kwenye maafa makubwa ili mradi tu kumfurahisha Zelensky!!

Biden keshasema INAVYOELEKEA URUSI HAIKUHUSIKA, sasa between the lines/katikati ya mistari Biden anasema Ukraine imehusika maana kama siyo Urusi basi Ukraine itakuwa imehusika!!

Mwanzo Zelensky aligomea mazungumzo lakini leo ndo anayatafuta mazungumzo ya amani na Urusi kwa udi na uvumba!!
Atakaye itumbukiza dunia kwenye Vita ya 3 ya dunia ni Russia, kwani alivuka mipaka yake na kumvamia jirani. Zelensky anatetea ardhi na Uhuru wa taifa lake.
 
Urusi angekaa Urusi na kushughulikia matatizo ya Warusi vita isingekuwepo.
 
"Tunapata shaka na uaminifu wa UKRAINE, hakuna aliyewalaumu kwa tukio la POLAND lakini wanakanusha hadharani kweupe"
 
mleta mada naomba uniambie kati ya urusi na Ukraine Nani kaanzisha Vita?
 
Back
Top Bottom