Mh Rais pole kwa yote yanaendelea kuhusu bwana yule kule ughaibuni.
Ila sasa ukweli tumeujuwa adui yumo ndani ya serikali yako na bwana lisu ameshajisemea mwenyewe.
Either walimpa tango pori au ni kweli aliyo ambiwa kuna watu wanatoa siri nyeti za serikali na hao ndio maadui wa kwanza wa taifa.
Maana ndio waliosababisha lisu kuamini kile anaamini.
Maneno kama anaogopa kuwataja watu walio mwambia siri ya shambuliz lake kwani watauwawa ni uthibitisho tosha wapo watu ndani ya serikali wanatoa siri za serikali.
Mtu huyo mkubwa alie waambia wabunge wanao shabikia mambo ya lisu ni nan?
Mtu mkubwa alie ongea kwenye kikao cha mawaziri ambacho ni siri ninani?
Waziri huyo pia ni adui namba moja wa taifa pamoja na wote wanao mpa siri Lisu.
Nimalizie kwa kusema Lisu ana taarifa ambayo ni nyeti sana na kumaliza zengwe nilazima akili itumike kumtapisha siri zote.
Nimalizie kwa kusema Adui yetu sasa tunamjuwa ni watumishi ndani ya idara zetu wasio kuwa waaminifu.