Akili za Lissu ni times 100 zaidi ya huyo unayemshauri pamoja na watu wake wa Karibu. Pia lazima afahamu wazi kuwa sio kila mmoja aliye Karibu yake anafurahia matendo na maagizo.
Kama JK Alienda kumnusuru mwanae China akiwa na kundi dogo la wanausalama (about 4) lakini Siri zilivuja mpaka za kugawa gesi yetu, sembuse mipango haramu inayoratibiwa na Mr. Misifa DAB!!!!
Hapa Bosi ajitafakari upya. Hakuna Siri hapa Chini ya Jua. Ni vema amrudie Muumba wake kwa mwili na Roho. Asiende kimwili tu kuwafurahisha wazee wa kanisa ili wabaki kuwa upande wake. Kila mtu atalipwa kwa kadri ya matendo yake.