Damu ya Ben saanane lazima aende nayo kaburini.Huyu Mleta uzi ukiangalia mada zake ni kama damu ya mauaji inamsumbua
Anaweweseka Sana Sana na ana wakati mgumu sana
Haya mambo yatamsumbua maisha yake yote hata akistaafu hiyo kazi anayoitetea humu
Mambo ya ajabu ajabu na kukimbiakimbia yatamtokea sana maishani mwake hii ni mwanzo