Tetesi: Rais, zimwi linaitesa Serikali ni watu wako wa ndani. Ask why?

Damu ya Ben saanane lazima aende nayo kaburini.
 
Naam hatimaye tumekuwa na mtazamo mmoja kuna msemo wa kiswahili usemao ni " heri Mchawi kuliko mnafiki" huyu mtu au kikundi hiki cha watu wanadhani wamejificha sana lakini ujumbe tu uwafikie kuwa siku zao zinahesabika. Kadri TL anavyofunguka ndivyo tunavyoweza kupata mwanga wa hawa informers.
Na bila shaka hawa ndio wanao hujumu kila hatua za maendeleo za serikali hii...
Serikali ingeanza na wale waliotumwa ama waliojituma kwenye sakata la TL kisha wale waliobanwa pale St peters.!
Hawa watatoa muongozo sahihi wa tukio zima. Na washirika wao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dawa pekee ya kumnyamazisha Lissu huko Duniani aliko ili aachane na kuituhumu serikali yake, dawa hiyo aliyenayo ni serikali yenyewe kujishughulisha na suala la Lissu ikiwa ni pamoja na ;

1.Serikali kutoa ushahidi usio na shaka wa mtu halisi aliyehusika kumshambulia Lissu

2. Serikali kuieleza Dunia walikokuwa walinzi waliokuwa zamu kulinda nyumba za serikali wakati Lissu anashambuliwa.

3. Serikali kuieleza Dunia zilikokwenda CCTV camera baada ya Lissu kushambuliwa.

Kwa nini serikali ndo inapaswa kuwa na majibu haya? Kwa sababu ndo pekee ina mamlaka ya kutoa majibu hayo na si mwingine!!! Hayo ndiyo maswali pekee ambayo Lissu amekuwa akiyauliza kila kwenye chombo cha habari cha kimataifa anachoalikwa!!
 
Lisu bado dawa za usingizi hszijatoka kichwan, nusu ksputi msrs 23 sio kidogo mjue lazima dishi lihame, so tusihangaike naye anachokiongea hata yeye hakijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama hapo anapowavua nguo unasema bado dawa za usingizi hazijatoka kichwani, zikija kutoka je? Anaweza chomeka vijiti mbele ya wakwe zenu zikija kumtoka hizo dawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lisu bado dawa za usingizi hszijatoka kichwan, nusu ksputi msrs 23 sio kidogo mjue lazima dishi lihame, so tusihangaike naye anachokiongea hata yeye hakijui

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahaha
Hahahaha
Nusu kaputi na mbaya zaidi ni hizo OxyContin na Percocet ambazo ana tumia kila siku kwa ajili ya maumivu
Hizo dawa ni sawa na unga au vumbi la congo, zinamfanya mimacho inamtoka na mijidomo inamcheza, jiuso lake si unaliona lilivyo vimba
Alafu anaongea bila reasonings
Kasheshe mlemavu yule


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanzania ni kubwa kuliko ccm, jitahidi kuwa positive hata mara chache
 
Kuna watu wamo ndani ya system kwa sababu tu ya mishahara. Lakini ni wapenda haki na ni waadilifu. Na si wote walioko huko ni wapenzi wa USUKUMA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Eti huyu naye mchangiaji ?!
Ndiyo GT wa team Lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siri ya kupanga kudhuru wengine haijawahi kumuacha yeyote salama hii itawatesa sana usicheze na damu za watu damu ya mtu haifi huendelea kuota na kuwavuraga akili waasisi wa nia ile mbovu. Kuna wana wema ambao daima hawawezi wakakubali taifa likapakwa matope kwa ajili ya kikundi flani utakuta taarifa zinavuja kwa nia njema kuwa taifa ni kubwa kuliko wachache hao.
 
Huyu jamaa damu alizomwaga bila hatia inamtesa na itamtesa milele yote hadi siku ya kiama.nakushauri ndgu akatubu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…