Tetesi: Rais, zimwi linaitesa Serikali ni watu wako wa ndani. Ask why?

Yes
..analalamika mtu alovujisha siri...akaenda mbali zaidi aanze kutafta mchawi alovujisha hii ishu...hatari kwakweli...!wao wanaona kawaida...haikutakiwa kuvuja..wanadhan watu wote wajinga
Na akaenda mbali zaidi ya kwamba ili wawapate wavujisha siri ni lazima kuwepo mkakati maalum wa kumtapisha Lissu siri zote aliziambiwa. Baada ya Lissu kutapika siri sijui kifuatacho ni nini. Haki ya Mungu kuna watu na watu mfano wa watu.Devil!
 
hawa ndo wa kushikwa na kubanwa makende had yapasuke..hatuwez changamana na watu wa aina hii kwenye jamii yetu
 
Lisu bado dawa za usingizi hszijatoka kichwan, nusu ksputi msrs 23 sio kidogo mjue lazima dishi lihame, so tusihangaike naye anachokiongea hata yeye hakijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kusema tu kama ulivyosema ni rahisi kuwaaminisha wasiojua ukweli wa mambo ila pale tu unapoambiwa ukanushe ayasemayo kwa 'dalili' ndo hapo uharo unapobadilika kuwa ngumungumu ghafla!
 
Kuna kichaa mmoja alinifundisha kuwa, msema kweli ni mpenzi wa Mungu. Sasa unawalaumu kwa lipi wasema kweli? Mwisho wa ubaya ni aibu.
 
Kumbe kuna watu wanaamini ngonjera za kikwete kuuza gesi kisa madawa?
 
Kwa hiyo uko upande wa wauaji? Unataka siri ya mauaji itunzwe?

Pengine yeye mwenyewe ni muuaji na sasa amepata hofu kuwa labda Lissu analo jina lake! Siri za nchi zinazopaswa kutunzwa ni zile zenye tija kwa ustawi wa taifa; siyo watawala. Siri za kuua watu wanaokosoa utawala kamwe hazitunziki. Watu wabaya kwa taifà huwa hawauawi kwa siri bali wanafunguliwa mashtaka mahakamani.
 
Na akaenda mbali zaidi ya kwamba ili wawapate wavujisha siri ni lazima kuwepo mkakati maalum wa kumtapisha Lissu siri zote aliziambiwa. Baada ya Lissu kutapika siri sijui kifuatacho ni nini. Haki ya Mungu kuna watu na watu mfano wa watu.Devil!

Labda huyo ni Bashite!
 
Si huwa Jiwe anasikiliza simu zao Vipi ,hajamjua mpaka mmekuja kulalamika mtandaoni ,au wavujisha siri wamewapiga Chenga ya mwili maana wao wana akili tena kuwashinda nyie malimbukeni wa mikurupuko .
 
Na akaenda mbali zaidi ya kwamba ili wawapate wavujisha siri ni lazima kuwepo mkakati maalum wa kumtapisha Lissu siri zote aliziambiwa. Baada ya Lissu kutapika siri sijui kifuatacho ni nini. Haki ya Mungu kuna watu na watu mfano wa watu.Devil!
Ndiyomaana walitaka arudi wamrushe frog jump aseme yote.
 
Kila goti litapigwa siku hiyo.......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta hili bandiko kuwa makini maana kwa maelezo yako haya unataka kutuaminisha kuwa shambulio dhidi ya Tundu Lissu serikali ina mkono wake humo na sasa mnataka kumtafuta mvujisha siri tafadhali sana mkuu maana utakuwa kinyume na maelezo aliyotoa mbunge Dr Mollel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…