Tetesi: Rais, zimwi linaitesa Serikali ni watu wako wa ndani. Ask why?

Lisu bado dawa za usingizi hszijatoka kichwan, nusu ksputi msrs 23 sio kidogo mjue lazima dishi lihame, so tusihangaike naye anachokiongea hata yeye hakijui

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa sasa naona unajifariji kabisa.

Pole sana ndugu....

Jamaa yuko mentally and physically fit 100%

He exactly knows what he's talking about.....!!
 
Kuna uwezekano pia Lisu akawa hana source yeyote ile isipokuwa tu anataka kuhalalisha madai yake potofu. Yote yanawezekana.
 
Hata walinzi wake hawampendi ila wanamchekea kinafiki
 
Nimalizie kwa kusema Adui yetu sasa tunamjuwa ni watumishi ndani ya idara zetu wasio kuwa waaminifu.

ama kweli serikali na idara zake ni Mali yenu na intapolprenuwaa na siyo idara kwa ajili ya wananchi.
 
Lisu bado dawa za usingizi hszijatoka kichwan, nusu ksputi msrs 23 sio kidogo mjue lazima dishi lihame, so tusihangaike naye anachokiongea hata yeye hakijui

Sent using Jamii Forums mobile app
Angekuwa anakuongelea wewe, wala nisingehangaika kwani ningeamini ni usingizi. Ila mpangilio wa hoja zake na maswali ambayo hayajajibiwa ndivyo vinavyonifanya nihisi wewe umeleveka na dadi!
 


Swali moja kwako ni: je wewe unafurahia na kupenda jambo baya alilofanyiwa Lissu??
 
Kwa hiyo lissu atapishwe siri zote anazozijua kuhusu muuaji?

Ndiyo sababu mkataka mfute dhamana yake ili akitia mguu tu nchini akamatwe mkamtapishe!? MUUAJI MKUBWA!

 
Wewe utakuwa ulishirikiana na bashite, kisanduku, musiba, lemutuz na jerry muro kwenye tukio LA kishamba
 
"Waziri huyo pia ni adui namba moja wa 'taifa' pamoja na wote wanao mpa siri Lisu"
Hii ni kauli ya Mtanzania?
Tanzania ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere?
Au ni kauli ya Nduli ndani ya Nchi yetu?
Tangu lini Taifa likapanga ku-assassinate Wananchi wake?
Tangu lini matendo ya Nduli Iddi Amin Dada na Marcius Nguema yakawa ya kizalendo katika nchi yo yote duniani?
Tangu lini kulaani u-Iddi Amin Dada na u-Nguema ukawa usaliti ndani ya Taifa?
TumainiEI, whoever you are, SHAME ON YOU!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…