Raisi awaidhinisha wahindi kama kabila la 44 nchini Kenya

Natumia Kichina kuwasiliana
 
Safi sana,wape elimu hawa mamburula! Lakini si nilidhani wakikuyu tulitoka kule kwa wayahudi? Dah,lakini ni sawa tu aisee!🙁
 
Sijaona point humu. Go and join your friend
 
Mkuu umeandika saaana, point ni hii Katiba ya Tanzania haitambui huo upumbavu wa ukabila, sisi ni taifa linalotambua raia wake kwa misingi yake na sheria zake bila kujali ni mnyamwezi, msukuma, mjaluo, mmakonde, mchina, mhindi, etc.

Tuna mtanzania wa kuzaliwa na kuomba! Hayo mambo ya makabila kila mtu anayatumia kivyake vyake huko, sio issue ya taifa, serikali yetu deals with her whole entire citizens na si kwa makundi makundi.
 
Kenya bado mkono kwa Divide and Rule kind of policy. Hilo halikwepeki.
 
Afu sisi Watanzania tusiingilie mambo ya Wakenya, wameamua wenyewe kuongeza na sisi kama tunaona inafaa tuwaongeze wawe kabila jingine Tanzania.

Tuwaache Wakenya na mambo yao
 
Wapi duniani umewahi sikia Indian tribe. Hata India hakuna hiyo tribe. Only in Kenya. In India they are citizens of India. Acha niongee kihindi kidogo""tochenai Uhuru dalulyai nai"" Wahindi mtakuwa Mme nielewa.
 
Tanzania hatuna huo ujinga.Sisi niwamoja.
Afu sisi Watanzania tusiingilie mambo ya Wakenya, wameamua wenyewe kuongeza na sisi kama tunaona inafaa tuwaongeze wawe kabila jingine Tanzania.

Tuwaache Wakenya na mambo yao
 
Si kweli.

Nyerere hakukuta watu ambao hawajaungana,

Kiswahili alikikuta kinaongewa tayari hata kwao.

Msitake kuleta historia ambayo haikuwepo.
Watu kama hao ndio wanaoendeleza uongo kumhusu Nyerere. Sifa anazopewa Nyerere nyingi ni za uongo kwa sababu kipindi cha utawala wake hakukuwa na demokrasia ya watu kuwa na mawazo tofauti na yake kwa hiyo hata vyombo vya habari viliandika yanayomsifu.
 
Wapi duniani umewahi sikia Indian tribe. Hata India hakuna hiyo tribe. Only in Kenya. In India they are citizens of India. Acha niongee kihindi kidogo""tochenai Uhuru dalulyai nai"" Wahindi mtakuwa Mme nielewa.
Hehe unajiambia unajua kihindi baada ya kutizama 'kuch kuch hota hai'? Unajua India kuna wagujerati,kashmiri na makabila mengine tofauti?
 
kwerwo atya mùthuuri[emoji3] [emoji3] [emoji3] nímakùigua kabisa...
 
kwerwo atya mùthuuri[emoji3] [emoji3] [emoji3] nímakùigua kabisa...
Ate aramaera twaumire Kongo! Nie njuwe twe ciana cia jakufu twaikaraga ta ciana cia nyina umwe na aisiraeli tukimayiera mono nginya makiuga mene mene.....nituumanwo!😀
 
Ate aramaera twaumire congo,nie juwe twe ciana cia jakufu twaikaraga ta ciana cia nyina umwe na aisiraeli tukimaiera mono ginya makiuga mene mene....!😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safi...twí hamwe mûno...ona gùkù maikara wana nokumaiga taoni mani..
 
Hivi Tanzania hakuna ukabila? Tanzania hakuna ubaguzi?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] safi...twí hamwe mûno...ona gùkù maikara wana nokumaiga taoni mani..
Hehe ndugatware maundu macio nakou mani niukumanina,githe nduramenya uria makoragwo mare aritu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…