Raisi awaidhinisha wahindi kama kabila la 44 nchini Kenya

Safi jombaa,acha turudi kwa lugha yetu tukufu unaelewa kabisaa umeishi ukikuyuni eeh?

Nimeishi ng'ambo na Wakikuyu (na Wakenya wengine pia) kwa muda mrefu kwa hiyo wakiongea nasikia na najifunza kidogo kidogo.
 
Nimeishi ng'ambo na Wakikuyu (na Wakenya wengine pia) kwa muda mrefu kwa hiyo wakiongea nasikia na najifunza kidogo kidogo.
Hapo sawa,lakini navowajua ndugu zangu lazima ulijifunza kwa shuruti.Yaani wakipatana wawili hata katikati ya watu kumi wasioelewa kikuyu utasikia wanaanza zao....'atiriri',hehe!Mungu atusamehe.🙂
 
Hapo sawa,lakini navowajua ndugu zangu lazima ulijifunza kwa shuruti.Yaani wakipatana wawili hata katikati ya watu kumi wasioelewa kikuyu utasikia wanaanza zao....'atiriri',hehe!Mungu atusamehe.🙂

Huwa napenda watu wanaojivunia kuongea lugha zao za asili, ndio urithi wao. Usipoelewa ujue maongezi hayakuhusu.
 
WANYAMWEZI WALIINGIA TANZANIA KARNE YA ? HEBU NIKUMBUSHE MKUU. LABDA NIMESAHAU.
 
Safi sana,wape elimu hawa mamburula! Lakini si nilidhani wakikuyu tulitoka kule kwa wayahudi? Dah,lakini ni sawa tu aisee!🙁
ona ulivyomtumwa wa kifikra...kikuyu(bantus) na uyahudi wapi na wapi?....ndivyo ulivyodanganywa na mwalimu wako wa somo la historia?.

bantus wote asilia yao ni congo forest.
 
Safi sana,wape elimu hawa mamburula! Lakini si nilidhani wakikuyu tulitoka kule kwa wayahudi? Dah,lakini ni sawa tu aisee!🙁

Hehehehe!! Nìkìì wee úrenda kuuga ndúì kúrìa twaumirì

Japo huwa kuna nadharia nyingi za kuhusu asili yetu Wakikuyu, kuna wanaosema tulitoka Ethiopia sehemu inaitwa Axum. Lakini nyingine inasema tulitokea Kongo, tukaingia Tanzania na kuishi pale Kilimajaro, kipindi hicho babu zetu walipaita 'Kirima-kia-njeru' au 'mlima mweupe', hatimaye tukapitia karibia na Pwani na kuishia mlima Kenya.
 
kwerwo atya mùthuuri[emoji3] [emoji3] [emoji3] nímakùigua kabisa...

Hehehe gutirí na ùru mani, nínyíndete kùmahe ùhoro andu aya a thíí inù ya Mwathani.
Ni vizuri kukumbatia asili yako na kuipenda maana vinginevyo utaishia kama mtumwa.
 
Huwa napenda watu wanaojivunia kuongea lugha zao za asili, ndio urithi wao. Usipoelewa ujue maongezi hayakuhusu.

Hakuna MTU anayekatazwa kujua lugha ya asili ni vizuri ubaya ni pale unapoona kabila na lugha yako ni vya muhimu kuliko watu wengine na unabeza culture za wengine na hicho ndicho kinachofanyika Kenya. Kuna makabila yanajiona wao ndio wao na wengine ni useless. Ni vizuri Ku appreciate diversity na culture za watu. Kama unaona culture ya kabila hii ni mbaya achana nao ishi maisha yako coz hakuna kabila wala race iliyokamili hapa duniani wote tuko na mapungufu. Kuna mkenya alikuwa hata anacheka watu wakisalimiana shikamoo anaona ni ujinga.
 

Kuna kitu kinaitwa 'culture shock' ambayo humtokea kila mtu, sio kwamba Mkenya kaja kuwacheka kisa ameshangaa mnavyoamkuana. Binafsi mimi niliwakuta hapo Dar mnakula pweza, aisei nikakaa mbali sitaki hata kuona, lakini taratibu nikaja kuzoea na hatimaye ikawa ndio msosi wangu.

Nyie tatizo lenu huwa na majungu sana kwa Wakenya, kwamba akifanya chochote Mkenya lazima mbaki mkimsema. Wakati haya ni mambo ya kawaida kama binadamu yeyote.
 
This thread finally confirms the Tanzanian's stupidity... The president has united Kenyans by making the Indian community a Kenyan community. It shows you are Kenyan first before anything, and if you can not see that you are stupid, very stupid.
 
Na bado,...adi wachina watapewa jimbo,...wakenya ni watu wakujipromote ata kwa ujinga,...sasa wanawapa nchi hawa wahindi wenye roho mbaya,mwishowe itakuaje zaidi ya kuwa watumwa,
 

Dear mi nimeolewa Kenya na nimeishi Kenya zaidi ya miaka kumi Kenya naijua yote kasoro northern part. Hiyo sio culture shock ni madharau na kutokua na maadili MTU akiyefundwa vizuri hata siku moja hawezi fika ugenini anaanza kucheka wenyeji coz ukipata shida ugenini wa kwanza kukusadidia ni huyo mwenyeji hao ndugu zako mpk watoke karatina wafike huko ni saa ngapi. Nimeona hata wakenya wenyewe kwa wenyewe hawaheshimiani kabisa na culture tofauti MTU anafundisha mpk watt wake kuwa hao ni wajinga coz wanafanya hivi na hivi wakati hata wao kabila lao liko na vitu vya ajabu. Mi nimejifunza mengi sana na makabila ya wakenya na sijawahi kudharau hata mmoja wao coz najua sisi sio malaika tuko na mapungufu. Naamini kila.kitu, kabila hata rangi Mungu aliweka akiwa na sababu.
 
Tungekuwa tunatumia lugha ya kigeni kama lugha mama bhasi ungekuwa na haki hiyo lakini kiswahili ni lugha pana ambayo imesheheni maneno ya lugha ya makabila ya kibantu hivyo kiswahili ni lugha asilia ya kiafrika na haswaa pwani ya Afrika mashariki...

Kuhusu lugha za kiasili ,bado kuna watanzania wengi wanaoongea lugha zao haswaa kwa makabila yanayopatikana katika kanda ya kaskazini , ya ziwa na magharibi lakini huwa haziongeleki Katika Miji kutokana na mchanganyiko wa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…