kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
We mwega bro?Uga,nindiraona niuramenya gikuyu.
Najua kidogo kidogo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwega bro?Uga,nindiraona niuramenya gikuyu.
hehe...sawa.Hehe ndugatware maundu macio nakou mani niukumanina,githe nduramenya uria makoragwo mare aritu?
Weusi gani? Unajua mkikuyu kweli? African jew mwenyewe! Hehe!Weusi huo mliutoa wapi? Nyie ni watu wa Kongo.
Mkuu, rudi shule ukajifunze tofauti ya counting na ranking.Kwa mujibu wa mleta mada kuna kabila No 1 hadi No.44
Safi jombaa,acha turudi kwa lugha yetu tukufu. Mi naona unaelewa lugha yenyewe kabisaa,umeishi ukikuyuni eeh?Najua kidogo kidogo.
Safi jombaa,acha turudi kwa lugha yetu tukufu unaelewa kabisaa umeishi ukikuyuni eeh?
Hapo sawa,lakini navowajua ndugu zangu lazima ulijifunza kwa shuruti.Yaani wakipatana wawili hata katikati ya watu kumi wasioelewa kikuyu utasikia wanaanza zao....'atiriri',hehe!Mungu atusamehe.🙂Nimeishi ng'ambo na Wakikuyu (na Wakenya wengine pia) kwa muda mrefu kwa hiyo wakiongea nasikia na najifunza kidogo kidogo.
Hapo sawa,lakini navowajua ndugu zangu lazima ulijifunza kwa shuruti.Yaani wakipatana wawili hata katikati ya watu kumi wasioelewa kikuyu utasikia wanaanza zao....'atiriri',hehe!Mungu atusamehe.🙂
WANYAMWEZI WALIINGIA TANZANIA KARNE YA ? HEBU NIKUMBUSHE MKUU. LABDA NIMESAHAU.Kwanza inafaa ikuingie kwamba nchi zetu hizi hazikua na watu tangia mwanzo, mababu zetu walihamia tu, labda huwa hampewi hiyo elimu shuleni, ni kwamba hayo makabila ya Tanzania yalihamia kutoka kwa mataifa mengine, Wanyamwezi waliingia Tanzania kwenye karne ya 17, huo ni mfano mmoja tu na kila kabila lina historia yake.
Hivyo sisi tulichokifanya kwa Wamakonde na hawa Wahindi ni kuidhinisha uwepo wa jamii zao na kuzitambua kikatiba kama jamii za Kenya. Wao walikuja tu kama jinsi jamii zingine zilivyokuja. Kwa mfano jamii yangu ya Wakikuyu walitokea kule Kongo, wakapitia hapo Tanzania na kuishi Kilimanjaro kwa zaidi ya miaka 1,000 ndio hatimaye wakahamia huku Kenya. Hivyo itakua unafiki kutotambua jamii zingine ambazo zilihamia huku kihivyo kabla Kenya haijawa taifa huru.
Nyie hapo mnajiita Watanzania leo, lakini hiyo ni baada ya mzungu kuja na kuchora chora mipaka baina ya Waafrika na kuanzia hapo akawaambia mjiite Watanzania au mwanzo Watanganyika, na sisi akatuambia tujiite Wakenya. Huko kwenu kuna jamii zaidi ya 120 zinazotambuliwa na katiba yenu, hivyo wacha kubwatuka maana hamna utofauti wowote na Waafrika wengine.
Tatizo ni kwamba nyie mumetelekeza tamaduni na asili zenu kiasi cha kuwa kama watumwa wasiojua historia au asili yao. Utakuata asilimia kubwa ya Watanzania hawajui hata kuamkuana kilugha, utumwa kabisa huo.
kapimwe mkojoSafi sana,wape elimu hawa mamburula! Lakini si nilidhani wakikuyu tulitoka kule kwa wayahudi? Dah,lakini ni sawa tu aisee!🙁
ona ulivyomtumwa wa kifikra...kikuyu(bantus) na uyahudi wapi na wapi?....ndivyo ulivyodanganywa na mwalimu wako wa somo la historia?.Safi sana,wape elimu hawa mamburula! Lakini si nilidhani wakikuyu tulitoka kule kwa wayahudi? Dah,lakini ni sawa tu aisee!🙁
Safi sana,wape elimu hawa mamburula! Lakini si nilidhani wakikuyu tulitoka kule kwa wayahudi? Dah,lakini ni sawa tu aisee!🙁
kwerwo atya mùthuuri[emoji3] [emoji3] [emoji3] nímakùigua kabisa...
Huwa napenda watu wanaojivunia kuongea lugha zao za asili, ndio urithi wao. Usipoelewa ujue maongezi hayakuhusu.
Hakuna MTU anayekatazwa kujua lugha ya asili ni vizuri ubaya ni pale unapoona kabila na lugha yako ni vya muhimu kuliko watu wengine na unabeza culture za wengine na hicho ndicho kinachofanyika Kenya. Kuna makabila yanajiona wao ndio wao na wengine ni useless. Ni vizuri Ku appreciate diversity na culture za watu. Kama unaona culture ya kabila hii ni mbaya achana nao ishi maisha yako coz hakuna kabila wala race iliyokamili hapa duniani wote tuko na mapungufu. Kuna mkenya alikuwa hata anacheka watu wakisalimiana shikamoo anaona ni ujinga.
Kuna kitu kinaitwa 'culture shock' ambayo humtokea kila mtu, sio kwamba Mkenya kaja kuwacheka kisa ameshangaa mnavyoamkuana. Binafsi mimi niliwakuta hapo Dar mnakula pweza, aisei nikakaa mbali sitaki hata kuona, lakini taratibu nikaja kuzoea na hatimaye ikawa ndio msosi wangu.
Nyie tatizo lenu huwa na majungu sana kwa Wakenya, kwamba akifanya chochote Mkenya lazima mbaki mkimsema. Wakati haya ni mambo ya kawaida kama binadamu yeyote.
Tungekuwa tunatumia lugha ya kigeni kama lugha mama bhasi ungekuwa na haki hiyo lakini kiswahili ni lugha pana ambayo imesheheni maneno ya lugha ya makabila ya kibantu hivyo kiswahili ni lugha asilia ya kiafrika na haswaa pwani ya Afrika mashariki...Kwanza inafaa ikuingie kwamba nchi zetu hizi hazikua na watu tangia mwanzo, mababu zetu walihamia tu, labda huwa hampewi hiyo elimu shuleni, ni kwamba hayo makabila ya Tanzania yalihamia kutoka kwa mataifa mengine, Wanyamwezi waliingia Tanzania kwenye karne ya 17, huo ni mfano mmoja tu na kila kabila lina historia yake.