Raisi ni mtu wa kejeli na vijembe ila hakisemwa yeye anafura.

Raisi ni mtu wa kejeli na vijembe ila hakisemwa yeye anafura.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga.

Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
 
492451414_654078724001766_64754609838670374_n.jpg
 
Na wengine watatandikwa hakuna linaloshindikana chini ya jua . Kichapo cha Gen Z chenuewe kimetijisa
 
kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga.

Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
Bimkubwa miyeyusho.
 
Chama kina wanachama milioni 13 (thirteen is an unlucky number) mpaka maprof wamo kina Kitia, madokta ndio usiseme mpaka wenye digrii nne wamo, lakini kwenye kumjibu Gwajima wanamtuma Jerry na mnyamwezi.
Gwaji kasema watu wanauawa, jibu lao eti, hata wakati wa Nyerere watu walitekwa.
Sawa na kumwambia mtu ananuka mavi, badala ya kuoga anajitetea eti hata fulani ananuka mavi.
 
Na wengine watatandikwa hakuna linaloshindikana chini ya jua . Kichapo cha Gen Z chenuewe kimetijisa


Wakenya ni ndugu zetu wenye utu kuliko Wazanzibari kwa sababu Kenya Mtanganyiaka anaweza kuishi kwa uhuru na akafanya biashara zake akatajirika akanunua ardhi na kujenga nyumba bila kubaguliwa na akawa huru kuabudu dini anayotaka japo Wakenya wakija Tanzania wanawekewa vikwazo sana kwenye kumiliki ardhi na hata biashara ushuru ni mwingi sana .
Lakni nchini Zanzibar Wayanganyika hawana uhuru wala amani , hawana haki hata ya kumiliki ardhi ,hawapati ajira hata kuoa ni shida ,hakuna uhuru wa kuabudu Zanzibar kwa watu wa dini nyingine tofauti na uislam. Hawataki hata makanisa yajengwe . Ubaguzi kwa Watanganyika nchi Zanzibar ni mkubwa kuliko nchini Kenya japo wazanzubar Wakija Tanganyika wanapata ajira nusu kwa nusu mpaka mambo yasiyo ya muungano , Wanaabudu kwa uhuru, wanajilimbikizia mali na kununua maelfu ya ekari za ardhi , wanajenga mahoteli , wanaoa bila masharti .

Wazanzibar ni wabinafsi sana .
Tofauti na Wakenya ambao kiujumla ni ndugu zetu sisi wayanganyika maana tuna makabila mengi tunaingiliana na wakenya bila kubaguana .
Huyu Mzanzibari ameongeza wigo wa kuwachukia waafrika wenzetu baada ya chuki dhidi ya watanganyika sasa ameitanua zaidi mpaka Kenya.

Je tutegemee nini endapo atatawala tena miaka 5 ?
 
Back
Top Bottom