ImekuwajeHamna hoja ni vitisho, vichambo na ushuzi tu
fuatilia TBC kwa ukweli na uhakikaImekuwaje
Ona aibuchadema wanahaha ni kama wamepoteza fahamu wallah
Bimkubwa miyeyusho.kama kawaida ya CcM ukiwauliza leteni hoja wao ni kusimanga chama kitakacho kuwa mwiba kwao tena na kutunga.
Sasa leo dodoma tumethibitisha yale ya Idd amin kule uganda yule marehemu alikuwa na kauli za kejeli na masimango mpaka zikamfanya raisi nyerere kumtandika.
Na wengine watatandikwa hakuna linaloshindikana chini ya jua . Kichapo cha Gen Z chenuewe kimetijisa
Na mimi wamenitamanisha kula hizo peace and frag, zinuzwa wapi nikanunue nikazinywee chai?
Aliyechora hii katuni ana akili sana.
Ebu tuioneWakenya wamemtengenezea video yuko anapigwa miti,nimebaki kucheka tu.