Raisi ni mtu wa kejeli na vijembe ila hakisemwa yeye anafura.

Kosa la Gwajima Jose ni kujiunga na upande wa shetani,hadaa,puruzai na upumbavu.Sasa anawekwa kwenye target apigwe teke la kwenye uti wa mgongo.Ni malipo.
 
Kenya una HEKA ngapi mkuu?
 
Na bahati nzuri yeye hupiga vijembe baada ya kuchokozwa. Usipomchokoza, hana khiyana na mtu!
 



Watoto wa mjini wanasema mtu kuvimba
 
Angekuwa hataki kusemwa asingewaruhusu mrudi Bongo mungebakia Kwa Mabeberu kuosha nepi zao.

Wala asingeondoa Ile ban ya siasa.

Mwisho ulitaka akutukane kama nyie mnavyomtukana,by the way kejeli ni Lugha ya staha amekuheshimuni sana.
 
Kenya una HEKA ngapi mkuu?
Kenya nina karibu wakati mbili kasoro .
Tatizo la Kenya Ardhi iko bei juu sana .
Kenya ni kama Tanzania tu tofauti ni kwamba Ardhi Kubwa Kenya inamilikiwa na watu binafsi wakiwemo Watawala na Wazungu . Mfano ardhi kubwa ya Kenya inamilikiwa na familia ya Kenyatta .Lakini Mtanzania akiwa na pesa ya kununua ardhi kwa mtu ananunua na anajenga nyumba yake bila kwere . Zanzibar Mtanganyika anabaguwa sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…