Notorious thug
JF-Expert Member
- Dec 29, 2021
- 2,817
- 10,667
ulitaka brigedia afanye nn ,kwani yeye ndo anashinda na maghala ya silahaCheo chake ni captain
Tu,kawatuliza tuli mageneral na mabrigadia wote kawafyata mkia
Ova
Cheo chake ni captain
Tu,kawatuliza tuli mageneral na mabrigadia wote kawafyata mkia
Ova
Halafu huyu dogo ni aliandaliwa au alijiandaa na ndoto ya kuwa Rais wa nchi na amejipanga sana huyu MwambaKwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.
Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU).
Ibrahim Traore ni shujaaa badala ya kuzipigia magoti nchi za Magharibi kazinyooshea kidole hapa Samia Suluhu kuna la kujifunza anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa Samia hapa jifunze kupunguza kuomba misaada.
Kwanini MkuuHalafu huyu dogo ni aliandaliwa au alijiandaa na ndoto ya kuwa Rais wa nchi na amejipanga sana huyu Mwamba
anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa
Sio bure yule jamaa ana back up fulani kubwa nyuma yake ndio wanampa nguvu ilê msichukulie poaCheo chake ni captain
Tu,kawatuliza tuli mageneral na mabrigadia wote kawafyata mkia
Ova
Unataka coup detour au vipi??Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.
Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU).
Ibrahim Traore ni shujaaa badala ya kuzipigia magoti nchi za Magharibi kazinyooshea kidole hapa Samia Suluhu kuna la kujifunza anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa Samia hapa jifunze kupunguza kuomba misaada.
Alifanya mapinduzi ya nchi? Ana muda gani katika hiyo nafasi? Mpe muda, na ufuatilie kwa karibu utendaji wake na mrejesho wa wananchi. Afrika hasa kwenye uongozi, kuna laana fulani ambayo haimuachi yeyote salama.Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.
Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU).
Ibrahim Traore ni shujaaa badala ya kuzipigia magoti nchi za Magharibi kazinyooshea kidole hapa Samia Suluhu kuna la kujifunza anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa Samia hapa jifunze kupunguza kuomba misaada.
Wampe muda watakuja sikia mauzauza yake.Wabongo kazini, wamelisikia jina tu lakini tayari na nyuzi za kuonyesha kumfahamu zinashuka kama zote!!
Eleza mambo aliyoyafanya kujenga uchumi.Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.