Raisi Samia Suluhu muige Ibrahim Traore wa Burkina Fasso

Kwa umri wake wa miaka 35 kaptein Ibrahim Traore ni mtoto kwa umri wa Samia Hassan Suluhu ila kwa utendaji wake wa kazi Ibrahim Traore ni mwalimu kwa Samia.

Ni raisi mwenye msimamo na uthubutu hazungukwi na Wezi na Machawa inakatisha tamaa kuona Raisi ana chama chake cha Machawa(AIBU).

Ibrahim Traore ni shujaaa badala ya kuzipigia magoti nchi za Magharibi kazinyooshea kidole hapa Samia Suluhu kuna la kujifunza anasema haiingii akilini kuona Afrika ni maskini licha ya utajiri tuliojaliwa Samia hapa jifunze kupunguza kuomba misaada.

Aige nini kwa mtu alie pindua rais
 
Huyu Mwamba anajua anachokifanya soon or later atazipiku nchi nyingi za Kiafrika .Burkinafaso itakuwa ni nchi ya kuigwa barani Afrika.Kasema kila kitu kinawezekana na tunaweza kwenda bila ya wamagharibi bravo captain Traore.
 
Back
Top Bottom