Wakuu wa mikoa ni wenyeviti wa kamati za usalama za mikoa yao.Wana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Watanzania wapole sanaNa kuna watu wanaamini katika kulinda kura
Zingatia kauli, ndio washikiriane na chama .?Wakuu wa mikoa ni wenyeviti wa kamati za usalama za mikoa yao.
Wakati huu wa kuelekea uchaguzi wana jukumu kubwa la kuhakikisha usalama, kutia nguvuni wale wote wanaojihusisha na uvunjaji wa sheria za nchi.
Hapo nitamtafuta anipe ufafanuzi.Zingatia kauli, ndio washikiriane na chama .?
Mbona unapotosha! Ongelea "shirikianeni na chama"Wakuu wa mikoa ni wenyeviti wa kamati za usalama za mikoa yao.
Wakati huu wa kuelekea uchaguzi wana jukumu kubwa la kuhakikisha usalama, kutia nguvuni wale wote wanaojihusisha na uvunjaji wa sheria za nchi.
Acheni wivu mbona katiba inaruhusu😀Wana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Kwani mimi ni Daktari Samia ?Mbona unapotosha! Ongelea "shirikianeni na chama"
Aisee , hatari sana, Twende tu tutafikaWana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Sasa ulivyokuwa unatoa ufafanuzi feki, ulikuwa samia?Kwani mimi ni Daktari Samia ?
Wakuu wa mikoa washirikiane na "CHAMA"!Wana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Ina maana bila mkuu wa mkoa hakuna usalama? Je jeshi la polisi haliwezi kusimamia usalama bila mkuu wa Mkoa?Wakuu wa mikoa ni wenyeviti wa kamati za usalama za mikoa yao.
Wakati huu wa kuelekea uchaguzi wana jukumu kubwa la kuhakikisha usalama, kutia nguvuni wale wote wanaojihusisha na uvunjaji wa sheria za nchi.
Safi sanaKwa mara ya kwanza kbs mwaka huu sitapiga kura, siwezi kutumika kuhalalisha ungese!
Elewa amesema wakipiganie chama na sio mchakato wa uchaguzi kama unavyotaka kutuaminisha hapo wewe kichogoless mwijakuWakuu wa mikoa ni wenyeviti wa kamati za usalama za mikoa yao.