Katika ufafanuzi wangu nimeeleza kwa ufupi jukumu la mkuu wa mkoa. Unatumia kinywaji gani ?Sasa ulivyokuwa unatoa ufafanuzi feki, ulikuwa samia?
Nimepata hamu ya kukupa tabasamu mwl wa vijana wetu.
Katika ufafanuzi wangu nimeeleza kwa ufupi jukumu la mkuu wa mkoa. Unatumia kinywaji gani ?Sasa ulivyokuwa unatoa ufafanuzi feki, ulikuwa samia?
Naomba upitie pitie mifumo ya kiuongozi hapa nchini ili usiwe na maswali mengi.Ina maana bila mkuu wa mkoa hakuna usalama? Je jeshi la polisi haliwezi kusimamia usalama bila mkuu wa Mkoa?
Elewa amesema wakipiganie chama na sio mchakato wa uchaguzi kama unavyotaka kutuaminisha hapo wewe kichogoless mwijaku
Hakika awamu hii wamezid kwa kiburi,yaan limtu linatamka neno lolote bila hata wasi wasi kabisaKiburi cha mamlaka sio mchezo.
Ndo maana kamteua Igp mstaafu kuwa mkuu wa mkoa "akashirikiane na CHAMA katika uchaguzi" kuwakabili ACT vilivyo.Wakuu wa mikoa washirikiane na "CHAMA"!
Kwahiyo huu uchaguzi wa chama siyo
Vyama.
Naijua hiyo!Katika ufafanuzi wangu nimeeleza kwa ufupi jukumu la mkuu wa mkoa. Unatumia kinywaji gani ?
Nimepata hamu ya kukupa tabasamu mwl wa vijana wetu.
Wana JF Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi" Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .? Kuna maisha baada ya uchaguzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa ulivyokuwa unatoa ufafanuzi feki, ulikuwa samia?
Elewa amesema wakipiganie chama na sio mchakato wa uchaguzi kama unavyotaka kutuaminisha hapo wewe kichogoless mwijaku
Washirikiane kuiba kura!Wana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Pale hakuna rais, ni basi tuWana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Wote si ni sisiemu.Wana JF
Haya ni maneno ya Raisi akiwaapisha viongozi leo : "Wakuu wa MIKOA, shirikianeni na chama kipindi hiki cha uchaguzi"
Hii inaleta picha gani kipindi hiki cha uchaguzi .?
Kuna maisha baada ya uchaguzi
Kwa mara ya kwanza kbs mwaka huu sitapiga kura, siwezi kutumika kuhalalisha ungese!