Raisi wa Marekani Ametia Saini Sheria mpya ya kuwa na Siku ya kusherehekea Kumalizika kwa Utumwa Marekani

Raisi wa Marekani Ametia Saini Sheria mpya ya kuwa na Siku ya kusherehekea Kumalizika kwa Utumwa Marekani

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Juneteenth National Independence Day itakuwa inaadhimishwa Juni 19 ya kila mwaka. Ni siku katika mwaka 1865 wakati wanajeshi wa muungano walipoliarifu kundi la watumwa weusi kwenye jimbo la Texas juu ya uhuru wao miaka miwili na nusu baada ya Rais Abraham Lincoln kutia saini tangazo la ukombozi.

Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini kuwa sharia hapo Alhamis kubuniwa kwa sikukuu mpya ya serikali kuu inayokumbuka kumalizika kwa utumwa nchini Marekani.
===

(CNN)President Joe Biden said that signing legislation into law on Thursday establishing June 19 as Juneteenth National Independence Day -- a US federal holiday commemorating the end of slavery in the United States -- will go down as "one of the greatest honors" of his presidency.

"I have to say to you, I've only been president for several months, but I think this will go down, for me, as one of the greatest honors I will have as president," Biden said at the White House during a signing ceremony.

"I regret that my grandchildren aren't here, because this is a really, really, really important moment in our history. By making Juneteenth a federal holiday, all Americans can feel the power of this day and learn from our history -- and celebrate progress and grapple with the distance we've come (and) the distance we have to travel," Biden said.

The ceremony, which took place in the East Room, included some 80 members of Congress -- including members of the Congressional Black Caucus, local elected officials, community leaders and activists. The President specifically noted that Opal Lee, the activist who campaigned to establish Juneteenth as a federal holiday, was in attendance.

Juneteenth commemorates June 19, 1865, when Union Major General Gordon Granger announced the end of slavery in Galveston, Texas, in accordance with President Abraham Lincoln's 1863 Emancipation Proclamation. Only a handful of states currently observe Juneteenth as a paid holiday.

Biden, speaking at the White House alongside Vice President Kamala Harris, repeated the sentiments he relayed when he commemorated the Tulsa race massacre earlier this year, that "great nations don't ignore their most painful moments."
 
Wakati huku kwetu tunasherehekea kurudishwa upya kwa mfumo wa mafisadi, walarushwa, wapiga-dili, wakwepa-kodi, wazembe kazini, na wabadhirifu wa mali za umma na wahujumu uchumi. Pathetic!!!
 
Unafiki haukuwahi kumwacha mtu salama,
Unawabagua kwa vitendo, huku unawaimbia mapambio ya uongo mdomoni
Mabebru ni mabeberu tu
 
Back
Top Bottom