Raja Casablanca FC wametegwa Makusudi na Simba SC na wameingia Mtegoni hawatoamini Macho yao

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Siku zote Uchawi wa Simba SC (hasa Jini lake la Ushindi) huwa linafanya Kazi vyema kuanzia Saa 1 Kamili Usiku mpaka Saa 5 na dakika 59 Usiku.

Na hakuna Mechi yoyote Ngumu (ya Kimaamuzi) hasa ya CAFCL au CAFCC Simba SC imecheza Saa 1 Kamili Usiku na haijapata Ushindi wowote.

Kilichofanywa na Simba SC ni Akili Kubwa ambayo huwezi kuikuta Yanga SC na kwa Mtangazaji Maulid Kitenge ambapo Simba SC waliwatega Raja Casablanca FC wacheze Saa 10 Jua Kali kisha akapandikizwa Mtu awaambie Wakatae na Wawaambie CAF ili mechi ichezwe muda wa Machinjio ya Jini Saa 1 Kamili Usiku na Wao wakakubali na Kufurahia wakisahau kuwa hata Simba SC waliulenga huo muda na Mambo yameenda sawa.

Yaani MINOCYCLINE niingie Kazini Raja Casablanca FC asife vibaya Jumamosi kwa Mkapa? Thubutu....hawatoamini Macho yao Kudadadeki.
 
uzi wa kitopolo sijapata kuona tangu february iingie aisee
 
Utaukataa huu uzi
 
Jaman mkiwa mmeshiba makande yenu muwe mnakwenda kulala tu kuliko kuleta porojo zisizo na kichwa wala miguu hapa,mitego mitego ya kuvulia samaki au?? Uongo mtupu. Mlitaka mcheze wakati wa joto ili muwachoshe waarabu mmekwamaa.
 
Back
Top Bottom