Raja Casablanca FC wametegwa Makusudi na Simba SC na wameingia Mtegoni hawatoamini Macho yao

Hakuna lolote atayejiandaa vyema ndie atakaeshinda
 
Kujitekenya na kucheka mwenyewe ndo hivi unavyofanya
 
Mpira ni Dakika Tisini. 90.

Ucheze saa nne, saa mbili, saa kumi, saa saba, KAMA MAANDALIZI NI MABOVU NA QUALITY YA WACHEZAJI NI NDOGO LAZIMA MTAFUNGWA.


2: ACHENI kuendekeza sana MAUSHIRIKINA YENU KWENYE MPIRA.
mbona Nigeria wachawi hawachukui kombe la Dunia??????????

UNA MAUONGO MENGI SANA.
MA ID's MENGI MNO DUUU.
 
Tutagongwa zile zile za vipers
 
Kama kweli vile
 
Soma kwa makini acha kubwatuka ovyo wew uto pro max
Mtu mjinga ataendelea kuwa mjinga tu, Uyo mpuuzi anawalisha matango pori na nyie kwakuwa ni zero brain mnakubaliana tu anachopost hapa bila ata kuishushughulisha akili, Muda wa kucheza mechi saa 1 umepangwa na caf wenyewe kutokana na mambo ya haki za kibiashara, hapo Raja anahusikaje kupanga muda wa kucheza? Sasa uyu jamaa kwakuwa anajua kuna viumbe hapa ndani uwa vinakurupuka bila ata kujishughulisha kupata ukweli ndio hivyo anawaokota mbumbumbu dizaini yenu, Nyie kama mganga wenu alitegemea kuroga saa 10 basi abadilishe rada akaroge saa moja jioni na sio kutuletea hadithi za abunwasi hapa
 
Simba hii game anashinda. Anayebisha haelewi mambo yanavyokwenda.
 
Kwa Simba hii,ni ngumu kuifunga raja,hata hao yanga nao hakupo vizuri Yani hizi timu zetu 2 hizi labda droo
 
Mashabiki wa mpira asilimia kubwa ni wajingawajinga tu kama huyu mtoa mada, Kama jini linafanya kazi Kuanzia saa1 Simba wasingehangaika kuomba muda ubadilike maana muda uliowekwa tayari upo kwenye target ya hilo jini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…