Sanaa, utamaduni na michezo unamsubiliAgombee akichukua usishangae na uwaziri akapewa.
ni haki yake kikatiba
Acheni ubaguzi, kwani hao maprofesa wamefanya niniHao ndio tunawahitaji tuwajaze bungeni na wakina Musukuma, Kibajaji etc
Hao tukipeleka muswada bungeni wanagonga meza tu kuunga mkono hoja maana hata kilichoandikwa ndani hawakielewi.
Bunge la kisayansi 2020-2025 linawezekana, tuwaunge mkono wagombea wa dizaini hii kwa wingi.
An incredible comment...Mola kama ulivyo wakumbuka Burundi pitia na Tz