Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Uyo katan si aliunga juhudi na kuhamia ccm!!! Itakuwa mtifuano uko ccm mwaka huu katika kura za maoni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh! Ngoja tuone kwenye kuchangia mambo ya bajeti
Itakuwaje
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Hivi wale nilijua ni graduates. Ok ila mimi sikuwa katika uchama. Ni aibu mtu hata degree huna unagombea ubunge kwakuwa tu wewe ni maarufu.
Awe CHADEMA , CCM au CUF ningependa sheria iweke sifa za elimu kwa kila nafasi
Elimu ya mwana mume kusuka nywele na kuvaa hereni.. Wajinga ndio wnao takiwa na CcmElimu ya aina gani sasa? Before all itabid ujue maana ya Elimu.
Elimu ya mwana mume kusuka nywele na kuvaa hereni.. Wajinga ndio wnao takiwa na Ccm
tunatakiwa tujitathmini kama taifa
Mbona wanaoelewa kilichoandikwa ndani ya mikataba hakuna cha mana walichofanyaHao ndio tunawahitaji tuwajaze bungeni na wakina Musukuma, Kibajaji etc
Hao tukipeleka muswada bungeni wanagonga meza tu kuunga mkono hoja maana hata kilichoandikwa ndani hawakielewi.
Bunge la kisayansi 2020-2025 linawezekana, tuwaunge mkono wagombea wa dizaini hii kwa wingi.
[emoji23][emoji848][emoji87][emoji86]Mola kama ulivyo wakumbuka Burundi pitia na Tz
Wabunge wa CCM ndiyo vilaza ndiyo maana CCM wananunua wabunge toka chadema kama wabunge wa CCM wangekuwa wana ujanja spika asingekuwa anawatumia kibajaji na Msukuma darasa la sabaWeka hapa elimu za wabunge wote wa chadema na ccm alafu utajionea vituko viko wapi
Ha ha ha wasanii wa Bongo bado wanavaa mlegezo kata k hapa marekani kata K ni jukwaani tu mitaani kata hawaitaki hata American Airlines walipiga marufuku Abiria wao kuvaa kata k ukapanda Ndege zao.Spika ajaye atapata tabu sana kuwavua heleni na kuwapandisha suruali juu ya kiuno, aina hii ya Wabunge iwapo kwa 'bahati mbaya' wataingia huko mjengoni.
Bado na wale wa Bongo Muvi!🤔 Hakika patachimbika.
Mfano Hamonize awe mtunga Sheria Bungeni ataweza kuitunga Sheria ipi ? au ataitunga Sheria ya kuruhusu kuvaa suruali chini ya makalio hata mbele ya wazazi wakeWale wale kina Kibajaj na Jah people na Kasheku yaani mtu kutokea kwenye kuokota makopo na chupa chakavu leo hii anakuwa mtunga sheria!
Tanzania.Hao ndio tunawahitaji tuwajaze bungeni na wakina Musukuma, Kibajaji etc
Hao tukipeleka muswada bungeni wanagonga meza tu kuunga mkono hoja maana hata kilichoandikwa ndani hawakielewi.
Bunge la kisayansi 2020-2025 linawezekana, tuwaunge mkono wagombea wa dizaini hii kwa wingi.
Mfano Hamonize awe mtunga Sheria Bungeni ataweza kuitunga Sheria ipi ? au ataitunga Sheria ya kuruhusu kuvaa suruali chini ya makalio hata mbele ya wazazi wake
Wasomi acheni ubaguzi, kama una ubavu nendeni mkapambane, kazi za Siasa ni uwakilishi wa watu, aliye karibu nao anakuwa na mtaji wa ziada kushinda hakuna kutegemea Kubebwa na elimu yako, wananchi wamechoka kuchagua wasomi ambao hawakai majimboni wala hawana uhalisia wa maisha ya wapiga kuraHivi wale nilijua ni graduates. Ok ila mimi sikuwa katika uchama. Ni aibu mtu hata degree huna unagombea ubunge kwakuwa tu wewe ni maarufu.
Awe CHADEMA , CCM au CUF ningependa sheria iweke sifa za elimu kwa kila nafasi
Tena wa UtaliiAgombee akichukua usishangae na uwaziri akapewa.