Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
- Thread starter
-
- #21
Mwalimu alisema ili nchi iendelee inahitaji ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora. Naona tumejikita katika kutafuta watu tunaoona kuwa ni bora - Rakesh Rajani, Anna Tibaijuka n.k. Ila hata uwe na watu makini na waliobebea kiasi gani kama huna siasa safi na uongozi bora huwezi kufika popote. Sana sana utaishia kuwatibua tu watu hao wenye uwezo. Historia yetu haidanganyi - rejea yaliyomkuta John Magufuli!
Lakini yawezekana kuwa na siasa safi na uongozi bora bila ya watu wenye siasa safi na wenye kuleta uongozi bora?

Kama vile unampigia ndogo ndogo rafiki yako....!:director:
Kama tetesi zinazotembea taratibu zina ukweli utakuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yanaweza kuleta matumaini katika wizara hii nyeti.. kwanza kwa sababu amejithibitisha kuwa ana uwezo, ni jasiri, na yuko tayari kuchukua maamuzi magumu. Pingamizi kubwa ni kutoka kona fulani fulani ambazo zinaona kuwa Bw. RR amekuwa anti-govt or anti-CCM. Watetezi wake wanadokeza kuwa kama mambo anayosema (kupitia taasisi zake) yana ukweli na ana mawazo ya kuboresha elimu.. give it to him...
BIO YA RAKESH KWA UFUPI
Kwangu mimi.. namuunga mkono na miguu!!!
What do you think?
Ili tuendelee tunahitaji wavumbuzi wa kuvumbua vitu....
Lakini yawezekana kuwa na siasa safi na uongozi bora bila ya watu wenye siasa safi na wenye kuleta uongozi bora?
mhh sidhani ..huyu jamaa alivyo radical kwenye issue za msingi sijui kama kwenye hilo baraza la mawaziri kutakalika ..By the way it is too late for Jk to appoint such a person kushika wizara hiyo maana miaka 5 sidhani kama inatosha
Kwa sasa hivi si Mbunge lakini wakitaka kumpa uwaziri itabidi wampe Ubunge kwanza.. uzuri wake once wakimpa Ubunge hata wakimuondoa Uwaziri hawezi kuachilia Ubunge hadi miaka yake mitano iishe!
Sounds interesting. But who can dare to do that in CCM. Remember we have said it many times and we say it again that, to these guys, 'capacity and being able' to deliver is a disqualification. If JK appoints RR, he will be signaling the unthinkable that he intends to do things differently and in a better way. But the unnecessary change of speaker does not make me believe that this can happen! It's a nice dream and is likely to remain so!
duh Rakesh ninayemjua mimi hawezi kufanya kazi na wana Chama Cha Majambazi....
he is too smart for them lol!
CCM hata wakiingia maprofsa upembuzi wao wa mambo unarudi mpaka kwa level ya Mtoto wa Chekechea...
Rakesh Hawezi kukubali labda kama ataenda kum join Mwakembe...
Rakesh please ur my role model hawa watu wasijewakachahachua umakini wako....
Kazi anayoifanya kupitia hizo taasisi zake ni kubwa sana na mara nyingi serekali imekuwa ikipingana naye,kumpa uongozi ni namna ya kudhoofisha utendaji wake kwani ndani ya serekali hataweza kukosoa na kuleta changamoto za msingi kama afanyavyo sasa hivyo ni bora abaki na nafasi yake na tunaukubali mchango wake.