Bado Niponipo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2008
- 680
- 168
Lakini inadaiwa kuwa kwa siasa za Kiswahili Swahili kama zetu mawaziri wenyewe ni political balloons tu lakini watendaji wakuu ni makatibu wakuu wa wizara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaelewa baada ya baraza la mawaziri kutangazwa. Vinginevyo.
Ni wewe ninayekufikiria au sijaweza kusoma katikati ya kerufi na sarufi?Viti maalum 10 za JK.
Ni wewe ninayekufikiria au sijaweza kusoma katikati ya kerufi na sarufi?
Mkuu, nimesosoma hivi, kuna viti 10 za rais.Mkuu mbona avator yako inapiga marufuku ubigaji ramli. Acha mkuu.
Hao kina Erasto Mpemba tunao wengi tu ila wanarudishwa nyuma na siasa chafu na uongozi mbovu unaoua mianya ya uvumbuzi - aisee umemcheki yule dogo wa Kenya aliyevumbua taa ya sola kwa ajili ya vijiji vyetu?
wewe uko nchi gani wewe ndugu yangu....
we toka lini ukaona mtu anaweza kubadili fikira za mwenyekiti wa CCM...
Angalia Kina Magufuli, Mwakyembe, Anna Kilango nae karibia achinjiwe baharini...
Ndani ya CCM hakuna cha maana atakachoweza badilika bora abaki zake na ile Taasisi Mpya..
CCM imeoza na ukiingia lazima unuke huu sio ushabiki ndo kweli yenyewe kama huamini ( karushe Almasi ****** uone kama itarudi ikiwa ina harufu nzuri)
Mwishowe wakiona kawaingilia sana utasikia tunaambiwa katimuliwa uwaziri kwa sababu si Mtanzania... Muulize Jenerali Ulimwengu....
Hata siasa bora na uongozi mzuri unavumbuliwa pia. Bila uvumbuzi hakuna maendeleo. Wewe endelea kubisha tu.
Halafu hivi huna mwingine zaidi ya huyo Mpemba?
Gagagigikoko.. hata Chenge naye ni Harvard.. LOL
Lakini kama si RR ni nani ambaye tayari yuko CCM ambaye tunaweza kusema akipewa Wizara ya Elimu miaka mitano ijayo hakuna mtoto atakayekuwa anasoma akiwa amekalia tofali au mchanga?
Mkuu, nadhani hakuna uvumbuzi mpya unaohitajika