Rally Bwalya Simba wamepigwa mchana kweupe!

Nikusahihishe hata muhogo mchungu wako ni kocha hakumtaka Ila kwa mashabiki ndio kiungo Bora na bado Bora juu ya Rally ni habari nyingine kbs tz na duniani

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Hivi mwenye huu Uzi sasahivi akiusoma anajisikiaje?
 
Dah aisee nimesoma huu uzi nimecheka mpaka mbavu zinauma, mtoa mada sijui ana hali gani saiv .. nahisi ingekuwepo option ya kufuta uzi angesha futa kitambo sana [emoji23][emoji23] ..
 
Dah aisee nimesoma huu uzi nimecheka mpaka mbavu zinauma, mtoa mada sijui ana hali gani saiv .. nahisi ingekuwepo option ya kufuta uzi angesha futa kitambo sana [emoji23][emoji23] ..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia yako anaanda uzi wa osmane sakho
 
Bado upo humu kwani
 
Uto mnataaaabu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…