Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa ...
Kwenu studio kwa matangazo zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bwalya au Balama
Nikusahihishe hata muhogo mchungu wako ni kocha hakumtaka Ila kwa mashabiki ndio kiungo Bora na bado Bora juu ya Rally ni habari nyingine kbs tz na dunianiKwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!
Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda...
Hayo magalasa yalikulaza mapema tu Unguja...nyambafu.
Hivi mwenye huu Uzi sasahivi akiusoma anajisikiaje?Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!
Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda...
au akapangusie na taulo lao la misukuleSawa Mama J. Kaipige maji basi ndiyo urudi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia yako anaanda uzi wa osmane sakhoDah aisee nimesoma huu uzi nimecheka mpaka mbavu zinauma, mtoa mada sijui ana hali gani saiv .. nahisi ingekuwepo option ya kufuta uzi angesha futa kitambo sana [emoji23][emoji23] ..
Hahahaha tena ?? .. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasikia yako anaanda uzi wa osmane sakho
[emoji23][emoji23]Yupo honeymoon na bebi wakeView attachment 1929436
Kajifunika GubigubiHivi mwenye huu Uzi sasahivi akiusoma anajisikiaje?
Bado upo humu kwaniKwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!
Wote ni mashahidi mnamkumbuka yule Msudan Sharif El Din "Mhogo Mchungu" alivyokuja kuwa flop. Sasa ni zamu ya kiungo wa Kizambia, Rally Bwalya nae alikuja kwa mbwembwe nyingi ila ameishia kuwa flop. Hajakidhi yale matarajio makubwa ya wapenda kandanda!
Klabu ya Simba ifike wakati wabadilike, badala ya kusajili magarasabya kigeni kwa bei nyingi ni heri wawape nafasi wazawa tu! Huwezi ukamnunua mchezaji kwa bei kubwa halafu mechi kama ya juzi ya Plateau anawekwa benchi na mchezaji mzawa kama Mzamiru Yassin!
Ni hayo tu, povu ruksa!
Kwa msimu wa pili mfululizo Simba Sc wanasajili mchezaji idara ya Kiungo kwaajili ya mechi za kimataifa halafu anakuwa galasa!