Rally of Tanzania 2021 Ubena Zomozi

Ubingwa anaweza kutwaa Carl Tundo,Karan Patel Hawa ndio Wana gari latest na njia za Bongo wamecheza sana. Huyu mwenye Toyota Etios naye ana nafasi. Hao vijana wa 3 wenye Ford Fiesta R3 hii itakuwa sehemu Yao ya mazoezi na uzoefu.
 
Lakini WAKENYA hao wako vizuri, they aren't underdogs, wamekuja kushinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…