Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa ndio mabingwaView attachment 1864528
Team M NTI, kutoka Kenya, wanatumia Volkswagen Polo R5, dereva ni Carl Tundo na msoma ramani ni Thomas Jossep, wote kutoka Kenya. Hebu ijue vyema mashine hii kwa kusoma hapa chini:-
![]()
VW Polo GTI R5 Officially Revealed With 272 HP, Four-Wheel Drive
Volkswagen Motorsport is showing off its new race car, the Polo GTI R5 featuring an aggressive body with a large rear wing and a roof scoop.www.motor1.com
Utatumia gari gani?Mwakani na mie ndani.. 😀😀😀
BMW M5Utatumia gari gani?
Ila wahindi nao ni wabishi Sana Kwenye rallyWahindi wanapenda sana haya mambo, ila kuna kila dalili za wao kuchapwa vibaya sana na Pole R5 😀😀
Wanafanya wanafurahia sana.. kun raha yake sana mkuuIla wahindi nao ni wabishi Sana Kwenye rally
Ila wahindi nao ni wabishi Sana Kwenye rally
Hapo kwenye Mitsubishi Evo ndo moto utapowakaZaidi ya VW Polo R5 Kuna michuma ya hatari sana, Ford Fiesta R3, Mitsubishi Lancer Evo X na nyingine za hatari
Hivi hakuna aliyeleta mazda R8 hapo kwenye hiyo rally?Zaidi ya VW Polo R5 Kuna michuma ya hatari sana, Ford Fiesta R3, Mitsubishi Lancer Evo X na nyingine za hatari
Huyu Babu hana maajabu yoyote, gari Kali anaogopa kupush mpaka mwisho.View attachment 1864526
Kitu Scoda Proto inaendeshwa na Gurjit Dhani wa Tanzania na msoma ramani ni Riyaz Ismail wa kenya
East Africa hakuna anayecheza Rally na Mazda R8.Hivi hakuna aliyeleta mazda R8 hapo kwenye hiyo rally?
Ni hobby kama hobby zingine na hayo ni mapenzi tu na hela kama ipo maana kuwa na gari kama hizo unaweza ukawa nayo ila sasa ukitaka iwe ya mashindano hapo ndio inabidi ujipange vizuri maana zina thamani kubwa sana
Lakini WAKENYA hao wako vizuri, they aren't underdogs, wamekuja kushindaUbingwa anaweza kutwaa Carl Tundo,Karan Patel Hawa ndio Wana gari latest na njia za Bongo wamecheza sana. Huyu mwenye Toyota Etios naye ana nafasi. Hao vijana wa 3 wenye Ford Fiesta R3 hii itakuwa sehemu Yao ya mazoezi na uzoefu.
Kwa nn mkuu,manake naona zimekaa kimashindano sanaEast Africa hakuna anayecheza Rally na Mazda R8.