Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
- #41
HakunaHivi hakuna aliyeleta mazda R8 hapo kwenye hiyo rally?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakunaHivi hakuna aliyeleta mazda R8 hapo kwenye hiyo rally?
Ndio ndio ni M4 hiyo upo sahihiHii ni M4
View attachment 1865360
Me in red polo shirt with my daugs
View attachment 1865360
Me in red polo shirt with my daugs
Wakenya ndio watao chukua wamejipanga haswa.Lakini WAKENYA hao wako vizuri, they aren't underdogs, wamekuja kushinda
Bujibuji Mbona ujapost gari ya Tufail na Sunny.
Hizo wanachezea Drag Racing. Kucheza Rally na Mazda Rx8 inataka uwe na pesa unaweza ukaua rotary engine kwenye lap ya 1.Kwa nn mkuu,manake naona zimekaa kimashindano sana
Leo ameongoza Karan Patel kafata Carl Tundo Kisha Mzee wa Toyota Etios. Tanzania Gurjit kawa wa 6.Ubingwa anaweza kutwaa Carl Tundo,Karan Patel Hawa ndio Wana gari latest na njia za Bongo wamecheza sana. Huyu mwenye Toyota Etios naye ana nafasi. Hao vijana wa 3 wenye Ford Fiesta R3 hii itakuwa sehemu Yao ya mazoezi na uzoefu.
Sio kweliLeo ameongoza Karan Patel kafata Carl Tundo Kisha Mzee wa Toyota Etios. Tanzania Gurjit kawa wa 6.
Zamani kina Kinjekitile walikuwa wanashiriki mbio na ma Land Rover etc kwanini hatuoni SUV kwenye rally siku hizi? RRONDO, Mshana Jr, Extrovert na wadau wote naomba majibuWakenya ndio watao chukua wamejipanga haswa.