Rally of Tanzania 2021 Ubena Zomozi

Rally of Tanzania 2021 Ubena Zomozi

IMG_20210725_215623_744.jpg
 
Scoda Fabia ya Manvir Baryan ilikuwepo kweli?..Huwa naikubali sana ile gari,na dereva wake pia anajua kuitumia..
Huwa anatesa sana kwenye WRC.
Haikuwepo hiyo. Tangu apate ajali mwaka 2019 hajarejea tena. Gari yale ili roll mara 6 nadhani atakuwa ameamua kurelax kwanza. Ni bingwa wa ARC mara tatu mfululizo 2017,2018 na 2019
 
Haikuwepo hiyo. Tangu apate ajali mwaka 2019 hajarejea tena. Gari yale ili roll mara 6 nadhani atakuwa ameamua kurelax kwanza. Ni bingwa wa ARC mara tatu mfululizo 2017,2018 na 2019
Hii ameshinda nani?
 
Back
Top Bottom