Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,077
- 12,786
Hii nchi imejaa majitu incompetent ndio sababu, serikali ifikirie kufuta mtindo wa ajira za kudumu wahamie ajira za mkatabaHicho kiwanda kimepata eneo na kimejengwa na kuisha ndani ya miezi 8 ya rais Samia. Safi sana
Ni jambo zuri na la heri..Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi[emoji123]
Hakika serikali ya awamu ya 6 imeamua kuondokana na urasimu usio na afya kwa taifa letu......Hicho kiwanda kimepata eneo na kimejengwa na kuisha ndani ya miezi 8 ya rais Samia. Safi sana
Wazo zuri litakaloongeza tija katika uchumi wetu......Hii nchi imejaa majitu incompetent ndio sababu, serikali ifikirie kufuta mtindo wa ajira za kudumu wahamie ajira za mkataba
Prof Assad akisema watendaji wa serikali wengi hawana uwezo wanafuraHii nchi imejaa majitu incompetent ndio sababu, serikali ifikirie kufuta mtindo wa ajira za kudumu wahamie ajira za mkataba
Mkuu ni uwezo ama urasimu na mipango ya kutengeneza rushwa?!!!Prof Assad akisema watendaji wa serikali wengi hawana uwezo wanafura
😍Hicho kiwanda kimepata eneo na kimejengwa na kuisha ndani ya miezi 8 ya rais Samia. Safi sana
Haina haja ya kuajiri kwa mikataba mifupi ila itupunguzie kodi kwenye biashara kama wanavyopunguza kodi za kwenye ajira ndo kitu kitaleta ajira nyingi.Ni jambo zuri na la heri..
Ili kukabiliana na urasimu na upuuzi wa sekta ya umma ni vyema serikali ifikirie kuanza kuajiri kwa mtindo wa mikataba badala ya ajira za kudumu Ili ukionekana mpuuzi unapigwa chini fasta Sana.
Ndio itaondoa urasimu wa kiutendaji?Haina haja ya kuajiri kwa mikataba mifupi ila itupunguzie kodi kwenye biashara kama wanavyopunguza kodi za kwenye ajira ndo kitu kitaleta ajira nyingi.
Ndio ukweli wenyeweProf Assad akisema watendaji wa serikali wengi hawana uwezo wanafura
Bado hujaelewa maana ya urasimuHaina haja ya kuajiri kwa mikataba mifupi ila itupunguzie kodi kwenye biashara kama wanavyopunguza kodi za kwenye ajira ndo kitu kitaleta ajira nyingi.
Komredi kinachotuumiza si weledi tu wa hao watendaji.....Ndio ukweli wenyewe
Yaani serikali ya Chadema ni ya ajabu. Wana mzuiaje muwekezaji miaka sitajamani?? Kweli wapinzani wameivhekewesha Ccm kuleta marndeleo.Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi[emoji123]
Kwani si serikali ya CCM iliyomruhusu awekeze?!!!Yaani serikali ya Chadema ni ya ajabu. Wana mzuiaje muwekezaji miaka sitajamani?? Kweli wapinzani wameivhekewesha Ccm kuleta marndeleo.
Hayo yote yatakomeshwa na ajira za mkataba,ndivyo inafanyika private sectorKomredi kinachotuumiza si weledi tu wa hao watendaji.....
Urasimu + rushwa + kukosa uzalendo+ roho mbaya+ mawazo ya kale + Choyo +Kupenda kuabudiwa....
Huwezi kuzuia mabadiliko ya wakati....sisi vijana na wajukuu zetu itafika siku kuliona taifa hili likiwa bora zaidi ya Sasa.....
#Kongole Kwake Mh.SSH[emoji106]
#Siempre JMT[emoji120]
#Nchi Kwanza Kabla Ya Nafsi Zetu
#Kazi Inaendelea Kwa Weledi& Kasi Zaidi [emoji123]
Aise kumbe miaka mitano iliyopita Urasimuem ulikuwa balaaaRamadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.
Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!
Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!
#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Hii nchi imejaa majitu incompetent ndio sababu, serikali ifikirie kufuta mtindo wa ajira za kudumu wahamie ajira za mkataba