Ramadhan Ng'anzi mwekezaji aliyefanyiwa urasimu wa kusikitisha

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2020
Posts
12,077
Reaction score
12,786
Ramadhan Mlanzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
 
Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi[emoji123]
Ni jambo zuri na la heri..

Ili kukabiliana na urasimu na upuuzi wa sekta ya umma ni vyema serikali ifikirie kuanza kuajiri kwa mtindo wa mikataba badala ya ajira za kudumu Ili ukionekana mpuuzi unapigwa chini fasta Sana.
 
Haina haja ya kuajiri kwa mikataba mifupi ila itupunguzie kodi kwenye biashara kama wanavyopunguza kodi za kwenye ajira ndo kitu kitaleta ajira nyingi.
 
Ndio ukweli wenyewe
Komredi kinachotuumiza si weledi tu wa hao watendaji.....

Urasimu + rushwa + kukosa uzalendo+ roho mbaya+ mawazo ya kale + Choyo +Kupenda kuabudiwa....

Huwezi kuzuia mabadiliko ya wakati....sisi vijana na wajukuu zetu itafika siku kuliona taifa hili likiwa bora zaidi ya Sasa.....

#Kongole Kwake Mh.SSH👍
#Siempre JMT🙏
#Nchi Kwanza Kabla Ya Nafsi Zetu
#Kazi Inaendelea Kwa Weledi& Kasi Zaidi 💪
 
Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi[emoji123]
Yaani serikali ya Chadema ni ya ajabu. Wana mzuiaje muwekezaji miaka sitajamani?? Kweli wapinzani wameivhekewesha Ccm kuleta marndeleo.
 
Kwani si serikali ya CCM iliyomruhusu awekeze?!!!

Tofautisha Kati ya baadhi ya watendaji wa hovyo na serikali nzima!!
 
Komredi kinachotuumiza si weledi tu wa hao watendaji.....

Urasimu + rushwa + kukosa uzalendo+ roho mbaya+ mawazo ya kale + Choyo +Kupenda kuabudiwa....

Huwezi kuzuia mabadiliko ya wakati....sisi vijana na wajukuu zetu itafika siku kuliona taifa hili likiwa bora zaidi ya Sasa.....

#Kongole Kwake Mh.SSH[emoji106]
#Siempre JMT[emoji120]
#Nchi Kwanza Kabla Ya Nafsi Zetu
#Kazi Inaendelea Kwa Weledi& Kasi Zaidi [emoji123]
Hayo yote yatakomeshwa na ajira za mkataba,ndivyo inafanyika private sector
 
Ramadhan Ng'anzi mwekezaji wa kiwanda cha Raddy Fiber aliyekutumia na urasimu kwa miaka 6 hatimaye afanikisha uwekezaji huo.

Kwa ukali mh.Rais SSH amewakumbusha watendaji kuachana na mawazo ya kale ambayo yanalirudisha nyuma taifa letu pendwa!!

Kongole kwake mwekezaji huyu kwa kututoa kimasomaso ambaye anakwenda kuajiri vijana wa taifa hili na kuusisimua uchumi wetu!

#SiempreJMT
#NchiKwanza
#KaziInaendeleaKwaKasi&WelediZaidi💪
Aise kumbe miaka mitano iliyopita Urasimuem ulikuwa balaaa
 
Back
Top Bottom