Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

1680433129761.png
 
[emoji617]HUKMU YA YULE AMBAE HAKUIKAMILISHA TARAWEHE

سئل شيخ العلامة عبد العزيز بن باز رحمه الله

[emoji404]Aliulizwa imam Abdul Azizi bin baazi (rahimahullah)

ما أجر من لم يكمل مع الإمام التراويح؟

[emoji117]Swali: yapi malipo ya yule ambae hajaikamilisha swala ya tarawehe pamoja na imam?

فأجاب: له أجر ما صلى، ولا يكتب له قيام الليلة إلا إذا كمل مع الإمام حتى ينصرف الإمام، يكتب له قيام ليلة،

[emoji3514]Akajibu: atapata yeye malipo kwa zile rakaa alizo swali, na wala haandikiwi yeye kisimamo cha usiku mpaka atakapo ikamilisha tarawehe pamoja na imam mpaka kuondoka kwa imam huandikiwa kisimamo cha usiku (kwa kuikamilisha tarawehe pamoja na imam)

أما إذا صلى معه تسليمة، أو تسليمتين؛ فله أجرها نافلة، كلها نافلة، لكن الأفضل أن يكمل معه حتى يحصل له فضل قيام الليل.

Ima akiswali nae imam kwa salamu moja, au salamu mbili, basi atapata yeye ujira wa sunna (za kawaida), zote ni sunna, lakini bora zaidi aikamilishe tarawehe pamoja na imam mpaka kipatikane kwake kisimamo cha usiku."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪نور على الدرب أجر من لم يكمل مع الإمام التراويح❫.

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]
 
[emoji257][emoji257]HUKMU YA FUNGA YA MWANAMKE AMBAE ALIE MEZA DAWA KWAAJILI YA KUZUIA DAMU YA HEDHI NA NIFASI

هل يصح صيام من تستعمل الحبوب التي تقطع الدم في أيام الحيض والنفاس؟

[emoji404]Swali: je inasihi funga ya mwenye kutumia dawa ambayo huzuia damu katika siku za kutoka damu ya hedhi na nifasi?

قال بن باز: إذا استعملت المرأة ما يقطع الدم من حبوب أو إبر فانقطع الدم بذلك واغتسلت،

[emoji3514]Amesema ibn baazi (rahimahullah): pindi akitumia mwanamke kile kinacho zuia damu kwa kutumia dawa au sindano na damu yake ikakata kwa dawa hiyo na akaoga

فإنها تعمل كما تعمل الطاهرات، وصلاتها صحيحة، وصومها صحيح."

Basi hakika yake atafanya ibada kama wanavyo fanya wanawake walio twahara, na swala yake ni sahihi na funga yake ni sahihi."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (15/ 200❫

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]
 
[emoji257][emoji257]KUNA UBAYA KWA MWANAMKE KUMEZA DAWA ZA KUZUIA HEDHI KWAAJILI YA FUNGA[emoji780]

ما حكم استعمال المرأة الحبوب التي تقطع الدم في أيام الحيض والنفاس لكي تصوم ؟

[emoji404]Swali: nini hukmu ya mwanamke kutumia dawa ambazo hukata damu katika siku za kutoka damu ya hedhi na nifasi ili afunge?

قال بن باز: لا أرى في هذا بأسا إذا كان لا يضرهن ذلك، ولا أعلم في ذلك حرجا؛

[emoji3514]Jawabu: Amesema ibn baazi (rahimahullah): sioni katika hili kuna tatizo pindi likiwa jambo hili haliwadhuru, na wala sioni katika hilo ubaya wowote

لأن لهن في هذا مصلحة كبيرة في الصيام مع الناس ولعدم القضاء بعد ذلك."

Kwani hakika yao (wanawake) katika jambo hili wapo katika maslahi kubwa katika kufunga pamoja na watu na kukosekana kulipa baada ya jambo hilo."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (15/ 201❫

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

*[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]
 
[emoji617]HUKMU YA KUSENGENYA KATIKA MWEZI WA RAMADHANI

هل الغيبة تفطر الصائم في رمضان؟

[emoji404]Swali: je kusengenya kunamfunguza alie funga katika mwezi wa ramadhani?

قال بن باز: الغيبة لا تفطر الصائم وهكذا النميمة والسب والشتم والكذب

[emoji3514]Jawabu: Amesema ibn baazi (rahimahullah): kusengenya hakufunguzi funga na vile vile kuchonganisha na kutukana na maneno mabaya

كل ذلك لا يفطر الصائم ولكنها معاص يجب الحذر منها واجتنابها من الصائم وغيره وهي تجرح الصوم وتنقص الأجر."

Yote haya hayafunguzi funga lakini hakika yake ni maasi ni lazima kujitenga nayo na kujiepusha nayo mfungaji na yasiyo kuwa hayo katika maasi, nayo mambo hayo hutia dosari funga na hupunguza malipo."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (15/ 320❫.

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

*[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]
 
[emoji617]SINDANO ZINAZO FUNGUZA NA ZISIZO FUNGUZA

قال ابن عثيمين رحمه الله تعالى

[emoji404]Amesema Al-allaamah Muhammad bin swaaleh Al-uthaymeen (rahimahullah)

الإبر العلاجية قسمان ما يقصد به التغذية ويستغنى به عن الأكل والشرب لأنها بمعناه فتكون مفطرة،

Sindano zenye kutibu zipo aina mbili: zipo zinazo kusudiwa vitamin na zinasimama badala ya kula na kunywa basi hakika ya sinandano hizo kwa maana yake zinakuwa zenye kufunguza

والإبر التي لا تغذي أي لا يستغنى بها عن الأكل والشرب فهذه لا تفطر."

Na sindano ambazo hazikusudiwi kula na kunywa, yaani hazisimami badala ya kula nakunywa basi hizi hazifunguzi."

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪مجموع الفتاوى (19/ 215❫.

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]
 
[emoji257][emoji257]HUKMU YA MWANAMKE KUTOKWA NA DAMU YA HEDHI KABLA YA KUZAMA KWA JUWA KWA MDA MDOGO

❪[emoji411]❫ السُّــــ☟ـــؤَال : ﺻﺎﻣﺖ اﻟﻤﺮﺃﺓ ﻭﻋﻨﺪ ﻏﺮﻭﺏ اﻟﺸﻤﺲ ﻭﻗﺒﻞ اﻷﺫاﻥ ﺑﻔﺘﺮﺓ ﻗﺼﻴﺮﺓ ﺟﺎءﻫﺎ اﻟﺤﻴﺾ ﻓﻬﻞ ﻳﺒﻄﻞ ﺻﻮﻣﻬﺎ؟

[emoji404]Swali: amefunga mwanamke na mda wa kuzama kwa juwa na kabla ya adhana kwa mda mdogo ikamjia yeye damu ya hedhi je itaharibika funga yake?

❪[emoji411]❫ الجَـــ☟ـــوَاب : ﺇﺫا ﻛﺎﻥ اﻟﺤﻴﺾ ﺃﺗﺎﻫﺎ ﻗﺒﻞ اﻟﻐﺮﻭﺏ ﺑﻄﻞ اﻟﺼﻴﺎﻡ ﻭﺗﻘﻀﻴﻪ،

[emoji3514]Jawabu: pindi ikiwa damu ya hedhi ilimtoka kabla ya kuzama kwa juwa basi funga yake imeharibika na atakuja kuilipa siku hiyo (baada ya ramadhani)

ﻭﺇﻥ ﻛﺎﻥ ﺑﻌﺪ اﻟﻐﺮﻭﺏ ﻓﺎﻟﺼﻴﺎﻡ ﺻﺤﻴﺢ ﻭﻻ ﻗﻀﺎء ﻋﻠﻴﻬﺎ.

Na ikiwa damu hiyo ilimtoka baada ya kuzama kwa juwa basi funga yake ni sahihi na wala hakuna kulipa juu yake."

Fatwa ya lajnah ya kudumu

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪فَتــَاوى اللجنَةِ الدَّائمَة, اﻟﻔﺘﻮﻯ ﺭﻗﻢ 10343❫

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji257]Mafunzo sahihi ya ndoa[emoji257]
 
[emoji617]HUKMU KUFUTURU NA KUPUNGUZA SWALA KWA MWENYE KUSAFIRI

ﻳﺠﻮﺯ اﻹﻓﻄﺎﺭ ﻟﻠﻤﺴﺎﻓﺮ ﻓﻲ ﺭﻣﻀﺎﻥ ﻭﻗﺼﺮ اﻟﺼﻼﺓ اﻟﺮﺑﺎﻋﻴﺔ،

Inafaa kufuturu kwa msafiri katika mwezi wa ramadhani na kupunguza swala ya rakaa nne

ﻭﺫﻟﻚ ﺃﻓﻀﻞ ﻣﻦ اﻟﺼﻴﺎﻡ ﻭاﻹﺗﻤﺎﻡ؛ ﻟﻤﺎ ﺛﺒﺖ ﻣﻦ ﻗﻮﻝ اﻟﻨﺒﻲ ﺻﻠﻰ اﻟﻠﻪ ﻋﻠﻴﻪ ﻭﺳﻠﻢ:

Na jambo hilo ni bora zaidi kuliko kufunga na kuitimiza swala (Katika safari) kwa yale yaliyo thibiti kwa kauli yake mtume (swallah llahu alayhi wasallam)

ﺇﻥ اﻟﻠﻪ ﻳﺤﺐ ﺃﻥ ﺗﺆﺗﻰ ﺭﺧﺼﻪ ﻛﻤﺎ ﻳﺤﺐ ﺃﻥ ﺗﺆﺗﻰ ﻋﺰاﺋﻤﻪ

Hakika ya Allah anapenda kuitumia ruhusa kama anavyo penda kuutimiza wajibu wake

ﻭﻟﻘﻮﻟﻪ ﻋﻠﻴﻪ اﻟﺴﻼﻡ: «ﻟﻴﺲ ﻣﻦ اﻟﺒﺮ اﻟﺼﻴﺎﻡ ﻓﻲ اﻟﺴﻔﺮ.

Na kwa kauli yake mtume (swallah llahu alayhi wasallam): sio katika wema kufunga katika safari."

Fatwa ya lajnah ya kudumu

❪[emoji432]❫ المصْــــدَرُ: ❪فَتــَاوى اللجنَةِ الدَّائمَة,اﻟﺴﺆاﻝ اﻷﻭﻝ ﻣﻦ اﻟﻔﺘﻮﻯ ﺭﻗﻢ (10604❫.

══════ ❁✿❁ ══════

[emoji429] [emoji3578] Abou hudaa Al-jaziiriyyi حفظــــــــــه اللــــــــــه تعالــــــــــى ورعــــــــــاه[emoji433]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]

VUNA THAWABU KWA KUSAMBAZA KWA WENGINE[emoji108]

[emoji441]Kua muadilifu us'badili chochote[emoji95]

[emoji432]═══ AL-HUDAA DURUUSU ONLINE ═══[emoji432]
 
Ndugu zangu waislam, Takbir... kwa waliopo dar naombeni mnihifadhi kwa futari ya leo jioni tu maana nimepungukiwa ndugu yenu...napatikana Magomeni
 
Mwezi mtukufu wa Ramadhan

Na Katika Hizi Siku 10 za Mwisho za Mwezi Wa Ramadhan Upo Usiku Mmoja ukifanya Matendo Mema (Mfano Kuswali au Kusoma Qur'an) Malipo Yake ni Sawa Na Miezi 1000
Usiku Huo Huitwa "LAYLATUL QADIR"

Ni Dua Gani Tuombe Pindi Tutakapo Udiriki Usiku Huo;

Ni Kusema Hivi...

"ALLAAHUMMA INNAKA -'AFUWWUN -TUHIBBUL -AF'WA -FAAFU'ANNIIY"

Tafsiri Yake;

"Ewe ALLAAH Hakika Wewe ni Msamehevu Mno Unapenda Kusamehe Basi Nisamehe Mimi"
 
Back
Top Bottom