Ramadhan Special Thread

Ameen yaarab.
Shukraan mkuu. Alhamdulillah Rabil'alamin
 
Nahisi mwaka huu tumeanza sawa kufunga. Inshallah na iwe hivyo katika kufungua na tofauti hizi ziwe zenye kutujenga na sio kutufakaranisha kwani Mwenyezi Mjuzi wa yaliyojificha anajua hili.


Ramdhan Karim kwa waislam wenzangu na wasio waislam.
 
Ameen yaarab. Ni vizuri.
Allahu Barik. Jazakallahu lkhayr
 
Hivi mnafunga kweli au mnabadili ratiba ya msosi? Maana naonaga usiku mnakula saa 1 na saa 6-8

Mchana ndio hamli, SIO MNABADILI MUDA WA KULA TU??
Ninyi ndio huwa mnafunga mkuu, na sijui huo usiku huwa unaonaje kwenye nyumba za watu kama sio mchawi au kibaka
 
Jamani tuombeane dua tubadilike maana sisi wengine tuko vizuri sana kwenye dini bahati mbaya mambo mengine ni mitihani ya Kidunia tu.
Nakuombea kaka alibakari m'mungu akuongoze katika mwezi huu mtukufu wa ramadhani na pia insha allah uwe ni mwenye kubadilika kwa yote ambayo kwako unaona si yenye kumpendeza m'mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…