Inajuzu kuswali huku umevaa viatuInna Lilah Wa Inna Ilayhi raji'un
Ila pengine ni photoshop haiwekani wamuangalie tu
Waislamu kwenye upuuzi kama huo tunakuwa wakali kama nyuki
Hapana hairuhusiwiInajuzu kuswali huku umevaa viatu
wala sio tatizo ila inatakiwa viatu viwe safi na vikavuInna Lilah Wa Inna Ilayhi raji'un
Ila pengine ni photoshop haiwekani wamuangalie tu
Waislamu kwenye upuuzi kama huo tunakuwa wakali kama nyuki
Inaruhusiwa nimepost dalili hapo JuuHapana hairuhusiwi
Hapana hairuhusiwiInaruhusiwa nimepost dalili hapo Juu
Mkuu mm binafc sijawah kusikia juu ya uhalali wa kuswali na viatu, pengine hadithi zako ni dhaifu, ni mara yangu ya kwanza kusikia kutoka kwako.Inaruhusiwa nimepost dalili hapo Juu
Hiyo kitu hamnaMkuu mm binafc sijawah kusikia juu ya uhalali wa kuswali na viatu, pengine hadithi zako ni dhaifu, no mara yangu ya kwanza kusikia kutoka kwako.
Wallah aalam
Yawezekana.ila c kwa waislam ccHiyo kitu hamna
Labda kama kuna dhehebu jipya la waislamu limeanzishwa
Hiyo kitu hamna
Labda kama kuna dhehebu jipya la waislamu limeanzishwa
Mkuu mm binafc sijawah kusikia juu ya uhalali wa kuswali na viatu, pengine hadithi zako ni dhaifu, ni mara yangu ya kwanza kusikia kutoka kwako.
Wallah aalam
Hapana hairuhusiwi
Ndio maana hata Mussa alipoenda kuonana na Mungu kwenye mlima wa Sinai aliambiwa avue viatu vyake maana pale ni mahala patakatifu.
Aisee nilikuwa sijawahi kuona hiyo hadithiInajuzu kuswali huku umevaa viatu
Dini ni pana sana ndugu yangu, kwakuwa haujawahi sikia usiseme Hadith ni dhaifu, Kuanzia leo uwe umepata hiyo I'lmuMkuu mm binafc sijawah kusikia juu ya uhalali wa kuswali na viatu, pengine hadithi zako ni dhaifu, ni mara yangu ya kwanza kusikia kutoka kwako.
Wallah aalam
Inshallah, by the way sitaswali na viatu.Dini ni pana sana ndugu yangu, kwakuwa haujawahi sikia usiseme Hadith ni dhaifu, Kuanzia leo uwe umepata hiyo I'lmu
ni kweli mazingira yetu machafu, ni bora uswali na soksiYawezekana.ila c kwa waislam cc
Soksi sawa lkn viatu akhiii siwez kwakwelini kweli mazingira yetu machafu, ni bora uswali na soksi
Ok ila ni Sunnah, na mtume (S.A.W) na maswahaba wameswali mara nyingi wakiwa wamevaa viatu kuliko wakiwa hawajavaa viatuInshallah, by the way sitaswali na viatu.
Pale Makka angalia wale maaskari wapo wamevaa viatu ndani ya msikiti.. ni mfano mdogo tu huuHiyo kitu hamna
Labda kama kuna dhehebu jipya la waislamu limeanzishwa
ile picha ulioiweka ni ya hapa tanzania?Soksi sawa lkn viatu akhiii siwez kwakweli
Mkuu wengine mda hatuna, tupo bize kwa kutafuta pesa za kuungaunga ili tupate kununua futari.Ina maana waislam tupo kdg jf ama nn?? Hii thread leo inafikia siku ya sita tangu kuanzishwa lkn haijafijafikia 1k, kuna thread zinaanzishwa hapa hazina hata faida lkn within an hour or two zinafikia hadi 2k replies.
Hebu waislam wote tusubscribe hii thread ili kila mtu akicomment tupate kusoma na kutoa maelezo tunayoyajua hapo itakuwa tushafikia lengo la hii thread.
Tufanye hivyo kwa ajili ya Allah anza kusubscribe Sasa ili sote tupate faida na yanayoletwa hapa.
Allah aalam!!
kaka mbona una bishana na hadith ina ruhusiwa ila kama n msikitini nani ata amin kama viatu vyako ni twahara hapo ndio mtihani huwa ulipoHiyo kitu hamna
Labda kama kuna dhehebu jipya la waislamu limeanzishwa
mkuu zama zao na zetu ni tofauti kwa mfano jiji la dar vile chafu kwel uje uswali na viatu hata kama ni vipya mm binafsi lazima niku ame kwenye swafaOk ila ni Sunnah, na mtume (S.A.W) na maswahaba wameswali mara nyingi wakiwa wamevaa viatu kuliko wakiwa hawajavaa viatu