Ramadhan Special Thread

Ramadhan Special Thread

Inna Lilah Wa Inna Ilayhi raji'un
Ila pengine ni photoshop haiwekani wamuangalie tu
Waislamu kwenye upuuzi kama huo tunakuwa wakali kama nyuki
wala sio tatizo ila inatakiwa viatu viwe safi na vikavu
4c59dbde739f547e02545e3c70be6789.jpg
 
Ina maana waislam tupo kdg jf ama nn?? Hii thread leo inafikia siku ya sita tangu kuanzishwa lkn haijafijafikia 1k, kuna thread zinaanzishwa hapa hazina hata faida lkn within an hour or two zinafikia hadi 2k replies.
Hebu waislam wote tusubscribe hii thread ili kila mtu akicomment tupate kusoma na kutoa maelezo tunayoyajua hapo itakuwa tushafikia lengo la hii thread.
Tufanye hivyo kwa ajili ya Allah anza kusubscribe Sasa ili sote tupate faida na yanayoletwa hapa.
Allah aalam!!
Mkuu wengine mda hatuna, tupo bize kwa kutafuta pesa za kuungaunga ili tupate kununua futari.
 
Back
Top Bottom